Asante kwa ushauri ila nadhani nitapata angalau wenyeji waliotembelea maeneo hayo. Na nafanya survey huku na kule nipate mwongozo kabla sijaenda maana natarajia kukaa siku 3.Mkuu Humu hutapata suluhu ni vema na haki uende physically ufanye survey ya hizo guest.
Ila kama unataka standard na issue za security basi mfukoni usikose atleast 30,000Tsh.
Kama sogea tukae na bahili around 10,000-20,000Tsh.