Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,807
Rafiki yangu kavamiwa na vibaka wakakwapua vitu vingi nyumbani. Pamoja na vyote wameiba GPS ya kazini, mwajili amechachamaa anataka ilipwe na kesi ipo polisi. Please, kwa anaejua bei ya kifaa hiki anihabarishe na mahali pa kuipata ili tumsaidie ndg yetu.
Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums