Bei ya gesi ya kupikia majumbani yapanda

Bei ya gesi ya kupikia majumbani yapanda

K
Nimenunua Oryx usiku huu kgs 17 kwa 52,000
g 15 mkuu sio 17Kw
Maandiko yanawema "watu wangu wanaangamia kwa kukowa maaeifa"kwanini usitumie Biogas ambayo gharama ya uendeshaji ipo karibu na Bure?nitafute nikupunguzie gharama ya nishati

Sent using Jamii Forums mobile app
yaniii kusema wakutafuteee naonaa wanaangamia zaidi kwanini usiweke hapa kila.mtu akaelewa kama umeona hilo n tatiO

Mungu atupe maarifa ya rohoni pia
 
kwaupande wangu mi muuzaji inanipa changa moto san maan mteja akuelewi anaona me ndo nimepandisha bei
63d98b27dfdc773bd8c811aa328d58ae.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulichukua mzigo kabla haijapanda kwa nini upandishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikitika sana moyoni,Mungu anatupenda kweli Watanzania au ametuweka mkonowake wa kushoto?mungu tufanyie uwepesi jehova hatujawahi kuona mtu kama huyu Tanzania kwetu hapa.
Adhabu imetosha tuondolee magufuli kimya kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakunawatuw wazuri kma wtanzaniahata uweke laki watazoea tu
Mkuu haupo kweli ya kawaida hadi umekosea kuandika pole sana. Hamna namna inabidi tununue wanasiasa ni nawaangalia tu maana Tanzania ya Leo mwanasiasa alisema anaweka mabomba ya maziwa na asali tunashangilia bila kufikiria hila hali ya hewa wakisema kesho kuna mafuriko msitoke majumbani watu wanabisha. Hamna namna
 
Back
Top Bottom