Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,891
Kwa msg nilionayo
oryx gesi wamepandisha bei kama ifuatavyo
Kg 6 kununua 17"000 kuuza 20"000
Kg 15 kununua 42"000 kuuza 47"000
sijaelewa lengo la kuchezesha watu akili hivi ninii
Ni hivi majuzi bei zilikuwa 48"000/2000
Wakapunguza zikauzwa 18"000/45000
Leo tena mnapandisha, kwanini msiamue kabisa kubaki huko huko watu wazoee bei kuliko kuwafanya matondo?
Mwisho poleni watumjaji wenzangu kazi ndio imeanza fungeni mikanda.