VMWare-Oracle JF-Expert Member Joined Dec 19, 2021 Posts 670 Reaction score 928 Nov 2, 2022 #1 Za muda huu? Engineering compass kwa ajili ya technical drawings ni bei gani? Nawasilisha.
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,681 Reaction score 22,544 Nov 2, 2022 #2 Introvert_007 said: Engineering compass Click to expand... Bei hutegemea mambo yafuatayo. Je umenunulia wapi? Hapa nchini au umeagiza nje ya nchi. Iwapo umeagiza Nje ya nchi gharama huwa ni kubwa | Kutokana na gharama za usafiri zilivyo juu. Kwa amazon wanauza kati ya $8 hadi $13, ambapo gharama ya kusafirisha ni kati ya $35 hadi $42 Iwapo utakosa hapa nchini, basi agiza amazon au ebay. Code: https://www.amazon.com/Compasses/b?ie=UTF8&node=1069030
Introvert_007 said: Engineering compass Click to expand... Bei hutegemea mambo yafuatayo. Je umenunulia wapi? Hapa nchini au umeagiza nje ya nchi. Iwapo umeagiza Nje ya nchi gharama huwa ni kubwa | Kutokana na gharama za usafiri zilivyo juu. Kwa amazon wanauza kati ya $8 hadi $13, ambapo gharama ya kusafirisha ni kati ya $35 hadi $42 Iwapo utakosa hapa nchini, basi agiza amazon au ebay. Code: https://www.amazon.com/Compasses/b?ie=UTF8&node=1069030
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,805 Reaction score 61,659 Nov 2, 2022 #3 somo la kijinga sana hili, nakumbuka kuuza sura na ma-drawing boards
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,404 Reaction score 29,370 Nov 9, 2022 #4 Kijana wangu kidato cha kwanza kaniletea habari za 'compass' la 50k nikajua ameanza uhuni anataka kunipiga!
Kijana wangu kidato cha kwanza kaniletea habari za 'compass' la 50k nikajua ameanza uhuni anataka kunipiga!