Bei ya empty container 20 feet

Parachichi

JF-Expert Member
Jul 22, 2008
510
102
wakuu polen na majukumu!nilikua nataka kufahamu hivi empty container 20 ft ni kias gani?na yanapatikanwa wapi?nawasilisha!
 
niliuliza majuzi nikaambiwa ni dola 2500 kwa 20ft na 40 ni usd 3000 haya yapo kwenye hali nzuri kama mapya. morogoro.
 
Mie ningependa kununua kwa bei poa na hata kama ni la wizi wee ni PM ili tupange kufanikisha dili
 
Hata la wizi tena!!!! au wewe ndio umeibiwa unalitafuta container JF
 
Makontena yana Issue... hakikisha unanunua kwenye Source za kuaminika kwani wengi wamelizwa M2 anakuuzia kisha anakuchoma kwa Police... KUWENI MAKINI!!!
 
EEeh haya madudu yanaibiwa sana!kuna jamaa alinunua baada ya mda mwenyewe kalifuata na polis kalichukua kiulainii!!!Alikua ameliandika jina lake kwa ndani ya plywood,walipolitoa wakakuta jina lake n anamba simu,wakalibeba kiulain+i!!
 
Ni pm mkuu upo nch gani?ila tuna 40ft kwa .....$2130 tu ( Mumbai )
 
Back
Top Bottom