Bei ya dish (Frèe to Air) zimeshuka.

Bei ya dish (Frèe to Air) zimeshuka.

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Habari wanandugu!
Naomba mnisaidie kwa anayejua bei ya madishi ya free to Air "ft 6 na ft 8" full set mpaka sasa ni shillingi ngapi?
 
Haah!!! We ndiye umeleta uzi na heading kuwa bei zimeshuka(maana yake una hakika na ulichokiandika) then content yako tena unaulizia bei!!!
Duuh kaazi kweli kweli.
 
We nawe mpuuzi tu nini unauliza wakati umeandika mwenyewe kuwa bei imeshuka, we na mkuu wa mkoa Arusha wote vichwa maji tu!
 
Unataka kujua bei yake sio, ni Tshs zimeshuka/=
 
Sina uhakika kama unajua ulichoandika.. Hakuna Dish za Free to Air au Dish za Pay Tv. Kachimbe zaidi hafu upya...
 
Habari wanandugu!
Naomba mnisaidie kwa anayejua bei ya madishi ya free to Air "ft 6 na ft 8" full set mpaka sasa ni shillingi ngapi?

"Bei za dish (Free to Air) zimeshuka"

Hivi una uliza au unatujuza kuwa dish zimeshuka?
 
Kwani kabla hazijashuka ilikuwa sh. ngapi?
 
huko mkoa gani mkuu ? Huku pwani dish ft 6 eurstar 85000 risiva 55000. lnbf 10000 deseq swich 3000. waya 8000
 
huko mkoa gani mkuu ? Huku pwani dish ft 6 eurstar 85000 risiva 55000. lnbf 10000 deseq swich 3000. waya 8000

ahsante twa twa twa.

UJUMBE KWA WOTE WALONIKASHIFU akiwepo figaniga:
siyo watu wote duniani tuna akili na mitazamo sawa na ndiyo maana kuna shule. Mwenzio akikosea mrekebishe na siyo kumsema. Kumbuka ukimrekebisha tatizo lake yeye naye atawarekebisha/kuwaelimisha wa/mkoseaji mwingine.
AHSANTENI.
 
Back
Top Bottom