Bei ya Diesel chini, Nauli bado palepale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya Diesel chini, Nauli bado palepale

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkimbizi, Nov 28, 2008.

 1. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2008
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana jamii wenzangu najiuliza, BEI YA MAFUTA IMESHUKA, NAULI VIPI?
   
 2. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,189
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Nauli kama kawa iko pale pale.., hii ni bongo mkuu. Habari ndio hiyo.
   
 3. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ssa hivi serikali iko kwenye road licence, income tax, insurance nafikiri bado kuangalia mustakabali wa mafuta kushuka bei. Ni awamu kwa awamu ngazi kwa ngazi. Don't you know that our Government is a government of precedent. Ufisadi kwanza then mafuta baadae. Hata huzima moto baada ya nyumba kuungua yote na hivyo kupoteza hata mafuta ya gari ya fire brigade
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Hivi bei ya sasa diesel ni shilingi ngapi? I wonder kama punguzo la bei ya mafuta duniani linalingana na punguzo la bei ya diesel
   
Loading...