Bei ya decoder ya Startimes ni ipi?

Bei ya decoder ya Startimes ni ipi?

Joined
Jul 8, 2015
Posts
78
Reaction score
11
Habari waungwana na wanaJF wote!

Ninaomba kufahamu bei ya king'amuzi cha Startimes chenye dish. Nipo mkoani Kigoma kimatembezi. Ninataka kurudi nyumbani Rwanda nikiwa ninamilike decoder hiyo.

Naomba mwenye ufahamu anijuze pls.

Asante kwa ushirikiano mwema.
 
elfu 50,kwa dar.

hiyo ni dikoda tupu hupewi dish.

kwa maelezo zaidi nenda ofisi ya startimes iliyo karibu yako.
 
Back
Top Bottom