Mi nimefuatilia sabasaba bei sio hiyo kuna matrekta m.100 na mengine m 55 lkn swalaj yenye 4wd m 45 2wd m35 na aina zingine bila ya chochote nimecheki agri com na jkt pamoja na Jo deeper ndio bei izo kwa bei ulizo taja wewe ni vitrekta vidogo vidogo kuna mawakala wanakopesha lkn sijajua kwa kipindi cha 3 yrs ni kiasi gani bado nafuatilia nikipata data ntakujuza
Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app