Bei ya chumba cha kupanga Geita mjini kati

kyalankota

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
2,560
1,399
Wadau heshima kwenu wakuu!
Naulizia bei ya CHUMBA Cha KUPANGA kwa Geita mjini. Self bei gani na single bei gani?
Nimeona niulize kwanza kwa wadau wangu humu kabla ya kuwaona wapigaji.
 
Wadau heshima kwenu wakuu!
Naulizia bei ya CHUMBA Cha KUPANGA kwa Geita mjini. Self bei gani na single bei gani?
Nimeona niulize kwanza kwa wadau wangu humu kabla ya kuwaona wapigaji.
Bei inatofautiana kulingana na chumba kilipo, mjini ni kuanzia elf 60-100,000( self contained room) maeneo Kama Mwatulole, Nyankumbu au Mkolani ni kuanzia elf 50. Vya kawaida ni kuanzia elf 30+ kutegemeana na mahali kilipo, Niko Geita mjini kwa maelezo zaidi njoo PM.
 
Hizi bei zinashawishi kujenga nyumba ya kupanga lakini ukishajenga wapangaji unawapata wa 40-50,000 kwa chumba.
 
Back
Top Bottom