Bei ya chuma chakavu na plastic zaporomoka

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,636
2,725
Bei ya reja reja ya kununua chuma chakavu imeporomoka kutoka sh mia tatu hadi sh mia mbili hamsini. Pia bei ya makopo ya plastic yaliyotumika kwa kilo nayo imeporomoka kwa takrabini asilimia arobaini hali inayoonesha kuwa mambo sio mazuri katika sekta ya ujenzi na sekta nyingine za uzalishaji.
Chanzo chetu kimeshindwa kubaini kuwa mbinde hii imetokana na kawaida ya mwezi Januari au ndio watu wanaisoma namba kiasi kwamba wamepunguza harakati za ujenzi.
Ikumbukwe kuwa chuma chakavu hutumika kutengenezea nondo na bar zingine zinazotumika kwenye ujenzi. Wauzaji wanadai kuwa skrepa zimejaa viwandani ndio maaana bei imeshuka. Kujaa kwa skrepa viwandani kunatokana hasa hasa na kupungua kwa mahitaji ya products zinazozalishwa na skrepa hizo....
 
Back
Top Bottom