Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,149
- 28,857
Eti Kodi kwa maendeleo ya nchi!!!Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi
Hivi wewe huwa unaskiliza ripoti ya CAGTulipe kodi kwa maendeleo ya nchi
Sawa tuu,kipato kikubwa unachangia sana shida Iko wapi?"Kumbe ni buku tu"..?
Wanaochukua mzigo kubwa ndio wanaojua ukibwa wa hiyo buku.
Chukua hiyo buku, halafu fanya kama unanunua mifuko 200 au zaidi.
Kwenye shughuli za ujezi hata Tsh 500 ni kubwa sana, labda kama unajenga kaburi.
Kule Bungeni tumepeleka Wawakilishi wasioweza kututetea.Bado na mafuta ya magari yanapanda pia..
Kwani wakati Serikali inasema itaongeza hizo bei Bungeni nyie mlikuwa mnajua itakuaje labda? Watanzania ni watu wa ajabu sana
Mimi nina misimamo tofauti katika mambo, usipate tabu kunielewa. nasapoti uwekezaji wa Bandari, lakini sisapoti kuongeza makodi na matozo ya Mwigulu na Zungu.🤣🤣🤣🤣😂😂 we dogo kuna wakati huwa sikuelewi, hasa tokea suala la dp lije!
Wewe si ndio mzee wa "ndio mzee" kwa kila kitu, hamna akili watu wa design yako.Bado na mafuta ya magari yanapanda pia..
Kwani wakati Serikali inasema itaongeza hizo bei Bungeni nyie mlikuwa mnajua itakuaje labda? Watanzania ni watu wa ajabu sana
Upuuzi wa hali ya juu wanshindwa kukusanya kodi huko wanakuja kumtwika mzigo mwananchiYaani pamoja na ugumu huu wa maisha wameamua ku impose mzigo mwingine wa kodi kwa Raia wake 🙌
Bidhaa nyingi muhimu ziliadimika wiki hii madukani, maana zilifungiwa kusubiri bei mpya kuanzia kesho tarehe moja JulyTaarifa iliyosambazwa na Uongozi wa kiwanda cha cement cha Dangote , inaeleza kwamba sababu za kupanda kwa Bei ya cement ni ongezeko la kodi ya serikali kwenye bidhaa hiyo .
Taarifa yao hii hapa .
View attachment 2674532
Hilo haliwezekani ndugu, na sio Jema na halina afya kwa taifa hata kidogo. Kumbuka hatutaishia CCM, baada ya CCM, tutaaelekea chadema, halafu CHAUMA, kisha ACT n.k, Rejea hali ya Libya hivi sasaCCM iondolewe kwa mtutu kwasababu imetumasikinisha kwa miongo mingi.
Aiseeee !!Bidhaa nyingi muhimu ziliadimika wiki hii madukani, maana zilifungiwa kusubiri bei mpya kuanzia kesho tarehe moja July
Sent using Jamii Forums mobile app
Watawala hawa wasiokuwa na huruma na Wananchi wao ndio watatupush tu uprise na kuwatoa kwa nguvu.Hilo haliwezekani ndugu
Kuna kununua container la fut 7 hafu unali modify.Weka katent tu ka kujikinga mvua na jua basi
😳 Eeeh eti nini? Relief inapatikana kirahisi ukifungua moyo, come commander eeh alipogomea Nusu mkate ikawaje sasa, maana hiyo itasaidia kua na Msingi halali na wenye logic kua na ujasiri wa kuwa front kuwang'oa watu mamlakani,Watawala hawa wasiokuwa na huruma na Wananchi wao ndio watatupush tu uprise na kuwatoa kwa nguvu.
Sasa hivi wanapanga kutuibia kura uchafuzi ujao.
Baada ya ule mpango wa Serikali ya nusu mkate Lissu alipougomea.
Sisi CHADEMA hatutaki kuhongwa viti Bungeni tunataka Katiba Mpya ndio tuingie kwenye Uchaguzi ambao ni huru na wa haki na kama CCM itatushinda kihalali tutawapongeza.😳 Eeeh eti nini? Relief inapatikana kirahisi ukifungua moyo, come commander eeh alipogomea Nusu mkate ikawaje sasa, maana hiyo itasaidia kua na Msingi halali na wenye logic kua na ujasiri wa kuwa front kuwang'oa watu mamlakani,