Nimeona pia taarifa ya Mbeya cement, nayo imeonesha hilo ongezeko la shilingi 1,000 kwa kila mfuko wa saruji.
Yaani pamoja na ugumu huu wa maisha wameamua ku impose mzigo mwingine wa kodi kwa Raia wake π
=======
Ingekuwa Nchi nyingine zinazoejielewa mfumko huu wa maisha ingekuwa tiketi ya Viongozi hao wakuu na Serikali yao kuondoshwa madarakani