Bei ya carina n sh.ngap?

alipofika

Member
Apr 29, 2015
41
12
Kama heading inavyojieleza..naomba kuuliza carina used naweza kupata kw shlng ngap? Mana naendelea kujichanga changa mda c mrefu nahitaji kumilik hii gar...Ahsanten..
 
Andaa bajeti ya 9millions uagize moja kwa moja Japan. Usije ukanunua kwa wabongo zilizochoka. Kama huwezi kuagiza mwenyewe kuna kampuni maalumu inayowaagizia watu magari hapa Tanzania tembelea hapa www.kalumbilo.online hata ukitaka ushauri watakupa tu
 
Kama heading inavyojieleza..naomba kuuliza carina used naweza kupata kw shlng ngap? Mana naendelea kujichanga changa mda c mrefu nahitaji kumilik hii gar...Ahsanten..

6.5 nakupa Carina nzuri sana sana.... Naenda Kenya kikazi ndio mana nauza....
 
CARINA ZIKO nyingi unataka ipi ? Kundulanyani ama ipi? Na unataka TI au Si? Si zina kula mafuta zaidi ya Ti......kwakuwa Si ina cc kubwa!
 
Kama heading inavyojieleza..naomba kuuliza carina used naweza kupata kw shlng ngap? Mana naendelea kujichanga changa mda c mrefu nahitaji kumilik hii gar...Ahsanten..

Ya mwaka gani..?
aina gani ya carina..??
iliyotembea kilometa ngapi..?
Ya rangi gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom