Contact me privately ujipatie hizo simu mpya zisizohitaji kuflash
simu wanauza 175000/= ongeza hiyo ya kuflash
kwa bei gani?
Contact me privately ujipatie hizo simu mpya zisizohitaji kuflash
Huawei ascend y300 Tigo wanauza 195000 ikiwa na muda wa maongezi 30000 message bila kikomo + internet mwezi mzima
Kuna tetesi kwamba simu zilizo flashiwa hatakama orignal watakapo zi block simu feki nazo zitakuwa blocked, hiyo ikoje wataalam?
mkuu si kweli ni haki ya mtu ku unlock kitu chake. tigo walitakiwa waseme ni baada ya muda gani unatakiwa u-unlock. kwa nchi zilizoendelea mtandao wenyewe wana unlock simu zao baada ya muda wa ku unlock kufika (mara nyingi inakua miez 6)
Hivi lengo la Ku lock simu ni nini?na wanaofanya hivyo ni kampuni ya simu au watengenezaji.na anayetoa unlock code nani.
Itakuwa imepungua si chini ya laki mbili na ku-unlock buku ishirini pale karikoo
hivi hizi huawei ni imara kweli au ndo hivyo tena!?