Wakuu Heri ya Mwaka mpya!
Ninataka kununua kompyuta 10 - 20 flat screen desktop kwa ajili ya kaproject kapya (educational project) kalishokwisha anza tayari. Ninahitaji at least Ram 2GB, Processor 3GHZ na Hard disk 80GB. Monitor ukubwa wa kawaida labda inch 15 -17. Tatizo langu ninaomba ninyi wenye uzoefu muweze kunisaidia kwa Dar sehemu ambayo naweza kupata kwa very competitive price na hasa kama naweza kupata kwa watu wa whole sellers japokuwa sijui wanaanza kuuza piece ngapi as whole.
With thanks.