Computer4Sale Ofa !!Jipatie computer original za MAC APPLE kutoka USA bei sawa na bure

Kamwene kamwene

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
1,159
2,585
UPEKEE WA COMPUTER ZA MAC APPLE ALL IN ONE
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina ya apple ,all in one ,zenye sifa zifuatazo;

Hazihitaji CPU ,hivyo unaokoa nafasi kwenye meza.

Hazihitaji moderm kupata Internet kwani zinakamata hotspot ya simu yako, hivyo unaokoa gharama ya kununua moderm.

3.Zinaokoa muda kwa kuwa mlango wa DVD/CD upo ubavuni mwa monitor (screen) na port ya flash ipo nyuma ya screen.
(Jionee Picha)


Screen size 20 inch, processor 2.4ghz Duo core Ram 2gb, Hdd 160gb, Mpya toka u.s.a

Bei: Laki tano (500,000/-) kwa computer moja.

Laki nne na hamsini elfu ( 450,000) kuanzia computer tano

Kuanzia computer kumi, bei inakuwa laki nne (400,000) kwa kila computer

wasiliana nasi kwa no: 0755293337 karibu sana!!!!!

Tupo Mbezi Mwisho ,Morogoro road pembeni ya jengo la BOA Bank.Pia unaletewa Ulipo ndani ya Dar es salaam na tunatuma mikoani.

Ofa hii ni ndani ya siku 30.

IMG-20190819-WA0004.jpg
IMG-20190819-WA0003.jpg
IMG-20190819-WA0001.jpg
IMG-20190819-WA0002.jpg
IMG-20190819-WA0000.jpg
 
nikinunua hapo nawasha mtambo kuanza kuandika proposal za kujenga kiwanda au baada ya hii monitor kuna chengine natakiwa kununua sio mzoefu sana na haya madubashwa

Mashine ipo full mkuu
Kwa bei hiyo unapata kila kitu chake
Hii monitor ipo full ndio maana inaitwa all in one
CPU ipo ndani ya monitor,na mlango wa DVD upo kwenye monitor,
port za kuwekea flash na speaker vyote vipo kwenye monitor hiyo
Ukinunua muda huohuo unaanza kuitumia kwa matumizi yako.

Karibu sana tukuhudumie mkuu
 
Hivi hizi zinapikea window za kawaida
Manake naona utata kwenye software zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom