Bei mpya ya gesi ya kupikia majumbani July 2017

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,037
15,525
Waheshimiwa
Kwa anaejua bei elekezi ya gesi iliotangazwa na Ewura.

Kuna jirani yng amenunua leo kwa 45000 mtungi wa kg15 anejua zaidi atujuze tusipigwe changa kama ilivyokuwa road licence ambayo had sasa watu wanalipia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmh mbona hatari san mkuu kwa bei hiyo
Kwa nini ubongo wako umechagua kukoment bei ya 55,000 wakati pia kuna komenti ya bei ya 38,000??
Are you the devil's advocate?? This is an expression though, don't literally translate it!
 
img_lpg_01.png
Huu mtungi wa katikati ndo una ujazo wa KG 15
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom