Bei mpya ya gesi ya kupikia majumbani July 2017

Oryx tabata karibu na ofisi YA vodashop au halotel wanauza 43elfu Jana nimejaza
Mkuu naona kuwa kunakitu kinatuchanganya hapa ,kati ya kujaza na kununua mtungi Wa gesi,na cha pili kutofautisha size ya hizi mitungi.ila Mimi nilikuwa naongelea ule Mdogo kabisa ndo nilinunua sh.67000 mwaka jana na ile jana nilikuta inajazwa kwa sh.19000 toka sh.22000 miezi 2 nyuma.kama nitakuwa nimekosea naomba kueleweshwa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona ulikuwa unaelekezwa na bado ukaendelea kusema umejaza wa Kg 15 kwa Shilingi 19,000/=?
 
Hapo sasa umeeleweka huo ni wa kg6. Kwa bei za huku mikoani tunanunua 75000/70000 na kujaza ni 22000/20000
Kwa oryx gas
Kidubuli
 
Sasa mbona ulikuwa unaelekezwa na bado ukaendelea kusema umejaza wa Kg 15 kwa Shilingi 19,000/=?
Samahani mkuu,naomba tu unifahamishe!
Mkuu naona kuwa kunakitu kinatuchanganya hapa ,kati ya kujaza na kununua mtungi Wa gesi,na cha pili kutofautisha size ya hizi mitungi.ila Mimi nilikuwa naongelea ule Mdogo kabisa ndo nilinunua sh.67000 mwaka jana na ile jana nilikuta inajazwa kwa sh.19000 toka sh.22000 miezi 2 nyuma.kama nitakuwa nimekosea naomba kueleweshwa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo tunaongea na watu ambao ni kula kulala hata kuweka luku hawajui,sembuse kununua gesi.
Jamani jiongezeni ulimwengu upo kasi sana sasa hivi.
 
Back
Top Bottom