Bei elekezi ya sukari

Bei elekezi ya sukari

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Serikali ilitoa AGIZO kuwa bei elekezi ya sukari ni Tshs.1,900. Ninavyojua AGIZO la Serikali ni AMRI lakini mpaka leo tunauziwa sukari kwa Tshs.2,400. Je hawa wafanyabiashara wapo juu ya Serikali?. Mbona AGIZO walilopewa kuhusu bei ya sukari hawaitekelezi?.
 
Fungua duka lako uuze kwa 1900 acha kulalamika anza kutoa msaada na wengine watafuatia.

Sio kila tamko la serikalini ni faida kwa mfanyabiashara.
 
Back
Top Bottom