Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,087
Mmm! hivi mtu wa kawaida kama mimi, ninaeishi kawaida, ninaefikiri kawaida, ninaona kawaida, Je, kutumia vitu vyenye utambulisho wa vikundi vya siri kama hao illuminant, ni hatua mojawapo ya kuwa mwanachama?