Behind any frustrated man there is a woman

maliza hii maneno na utafurahia maisha,kusamehe is letting go..is a part of healing process.kama kukoma am sure ameshakoma...trust me hatarudia tena.
NB:bado najitolea kuwa shock absorber....aka kidumu.:party:

Hivi mnaposema amsamehe mna maana gani? Manake kwangu mimi kusamehe haina maana waendelee kuwa pamoja.

Ingekuwa mimi ningesamehe ndiyo, lakini uhusiano wa kimapenzi ndo utakuwa ushaharibika. Kusamehe kwangu kunamaanisha sitakuwa na chuki wala uadui dhidi yako. Tunaweza kuwa washikaji wa kupiga wa kupiga stori tu na kujuliana hali every now and then.

Lakini eti nikusamehe halafu tuendelee kuwa mume na mke? Hell no! I will end things but remain friends if the other party is willing to be friends. Otherwise gone bye bye.....
 
sio wote wako strong ku move on kama wewe,,,,huyu vegule ameumia sana sababu alimpenda na bado anampenda mkewe-hata akimuacha akaenda kwa mwanamke mwingine feelings zake kwa mkewe hazitaisha na maumivu yatamfanya ashindwe kufocus kny hio relatioship mpya.so the way forward for him,is to forgive his wife na waanze ukurasa mpya.hayo ndio mawazo yangu.:teeth:
 
Kama hivyo ndivyo ilivyo jinsi ulivyoiweka wewe basi atakuwa hana ujanja hapo. Ni kusalimu amri ya hisia zake na kumsamehe mama watoto wake na kusonga mbele na maisha!
 
embu geuza icho kibao kwa sekunde chache kingekuwa chako ndo kakufumania halafu mtazame mkeo machoni tafuta majibu mwenyewe halafu urudi kutuambia umewaza nini

Chauro, rejea maelezo yangu kuhusu mapenzi yangu na my infidel wife. Alikuwa akinena mwenyewe na nilikuwa naona mwenyewe na kuhakikisha beyond any reasoble doubt kwamba anafika tena kile kilele kikubwa anachochukua muda mrefu kushuka. Na akishuka ni anachukuliwa na usingizi kabisa. I used to leave no stone unturned. Yaani (kama wewe ni she) unataka hadi nionyeshe practically asee. Sorry, dont be offended.
 
Mambo yenyewe ya kuambiwa.sasa wewe una uhakika gani?au unahisi tu.Hebu chunguza kwanza mwenyewe uwe na uhakika ndo ufikie conclusion.
 
maliza hii maneno na utafurahia maisha,kusamehe is letting go..is a part of healing process.kama kukoma am sure ameshakoma...trust me hatarudia tena.
NB:bado najitolea kuwa shock absorber....aka kidumu.:party:

Rafiki yangu roselyne huu utani acha. Hivi nikiamua kweli kuacha kinywaji nikaamua kumalizia hasira zangu kwako kwa kutumia fimbo yangu imara (ninayoibeba ktkt ya miguu yangu). Nikakuchapa kuanzia saa mbili hadi alfajiri, will you survive? Thanks babe for ur concern but am afraid my shock will be unbearable for u.
 
sio wote wako strong ku move on kama wewe,,,,huyu vegule ameumia sana sababu alimpenda na bado anampenda mkewe-hata akimuacha akaenda kwa mwanamke mwingine feelings zake kwa mkewe hazitaisha na maumivu yatamfanya ashindwe kufocus kny hio relatioship mpya.so the way forward for him,is to forgive his wife na waanze ukurasa mpya.hayo ndio mawazo yangu.:teeth:
Hadi sasa nakaribia kumsamehe ila my thing will never touch hers na pia mwisho wa cohabitation umekaribia. Bado kitambo kidogo atakuwa na makao ya peke yake. Nitamsamehe kwa sababu alikuwa akiutumia mwili but sitaruhusu kamwe mwili wangu umguse. This is irreversible!
 
Back
Top Bottom