Before 2011 ends what do u want from me

Mimi naomba no. 10... ile picha ya bebii irudishe kwenye avatar yako.
 
No. 5, lakini zaidi nataka/ninakuombea umalize 2011 ukiwa na furaha na uanze 2012 na furaha zaidi na mafanikio katika maisha yako. I'd like to see SMILE smiling.
 
no. 5, lakini zaidi nataka/ninakuombea umalize 2011 ukiwa na furaha na uanze 2012 na furaha zaidi na mafanikio katika maisha yako. I'd like to see smile smiling.
daaaah thax a lot
 
14.....😛oa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…