Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 566
Kwa wale wanajamii wafatiliaji wa muziki wa kufoka (Hip Hop) nadhani hayo majina na kilichokajiri haviwezi kuwa vigeni kwenu.
Kwa uchambuzi wa kawaida tukizingatia ushairi, style na production nani alimuua mwenzake kwenye zile disstracks? Zingatia hayo niliyoyasema Ushairi, Rapping style, Production unadhani yupi alishinda battle?
Ambapo Ngoma zinazosimamiwa kuwa ziliamua mkali ni nani ni Take Over ya Jay Z take na Ether ya
Nas
Let's go....