Bedtime ni mambo ya ku-chat na m-baby

Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,538
15,739

11999096_10153804100975579_2345918804861677917_n.jpg
 
Duh huyu jamaa anamiliki simu 2,huenda simu ndo kipaumbele chake
 
Hahahahahahah bahati nimeshaolewa ila you never know kisingekua kizuri hiyo miguu

Haha..maana vijana wengi wanatongozana bila kufahamiana hata wanapoishi matokea yake ndio yanakuwa kama hivyo siku unakaribishwa kwenye makazi halisi
 
Haha..maana vijana wengi wanatongozana bila kufahamiana hata wanapoishi matokea yake ndio yanakuwa kama hivyo siku unakaribishwa kwenye makazi halisi

Haina tatizo kama hayo ndio maisha halisi ila tu akiwa amedanganya hapo ndio tatizo
 
Kipindi nimeanza kujitegemea, niliweka godoro chini na sikuwa na haja ya kitanda au makorokoro mengine, maisha yalikuwa simple msosi kwa mama lishe, lakini chumba kilikuwa kisafi, mziki mnene na vitabu. Sikuona aibu hata kuingiza wachumba. sasa huyu, japo ndio maisha, lakini mchafu.
 
Hilo shuka linanikumbusha mbaaali kweli kweli enzi zileeee tukiwa boarding school
 
Back
Top Bottom