Because it's Thursday we throw it back

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
20,458
Reaction score
36,480
Wahenga baada ya sarakasi zote.....kuvuka milima na mabonde, mito, maziwa na kurudi kusimama imara kufurahi pamoja ni afyaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ



A throwback to better times and even better memoriesπŸ˜πŸ˜πŸ’ƒ
πŸ’£β™₯οΈπŸ™
 
Ngoja niwahi siti halafu nitarudi kusoma nione kama nitaelewa.
 
Mkuu..ulikua unasikiliza nyimbo za baba ake Enrique Igliusis(Spelling imenishinda)

Aisee....Mimi Bado Bado kidogo kuzeeka..japo.miaka inasonga kwa Kasi sana
 
Mkuu..ulikua unasikiliza nyimbo za baba ake Enrique Igliusis(Spelling imenishinda)

Aisee....Mimi Bado Bado kidogo kuzeeka..japo.miaka inasonga kwa Kasi sana

Muziki ni Muziki tuu hauna umri wala wakati. Hizi alikiliza babu hadi mjukuu😍😍😍😍😍

 
Muziki ni Muziki tuu hauna umri wala wakati. Hizi alikiliza babu hadi mjukuu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Umenikumbusha tangazo la Magodor Dodoma....walikua wanasema ametumia babu Hadi mjukuu[emoji3][emoji3]
 
πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡


πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…