"Bebi mi leo sivai helmet bana..."

"Bebi mi leo sivai helmet bana..."

kuwa na mpenzi mmoja utulie

RAHA YA KUTIKUVAA CONDOM AIJUAE MWENYE CHAKE
SASA ASIVAE ALAFU Unase alafu si wako
UTAONA DUNIA CHUNGU
Halment muhimu wapenzi wenyewe hawatabiriki unaweza kujifanya unaye mmoja kumbe yeye ana wengine huko
 
Hivi kwanini wanawake hawapendi kuvaa condom hata ukimchukua unakuta yeye ndio ana kusisitiza uvae?Eti wadada mbona nanyie hampendi kuvaa helmet???
 
Mbona baada ya kuvaa helmet aliambiwa ahame chumba kutokana na kelele za pikipiki?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom