sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
"..Mi dereva mzuri, kila siku nakuendesha lakini bado huniamini"
Hili tangazo huwa linanigusa sana... Kiukweli kuvaa helmet wakati wa shughuli ni ngumu sana... Hata kama utavaa basi ni mechi tatu za mwanzoni baada ya hapo, helemt hutupwa kule..
Raha ya pikipiki uendeshe bila helmet.. Ajali mipango ya Mungu..
Raha ya mapenzi ni kufanya bila kondom ukimwi mipango ya Mungu..
Hapo juu maneno ya kwenye daladala hayo..
Wanaume wa kweli huvaa helmet, wangapi humu ndani huvaa kabla ya kuanza kuendesha pikipiki.....?????????