Beberu na Nchi rafiki katika picha tofauti

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
31,118
2,000
EkXmn5dWkAI4usr.jpeg
EkXmngHXgAEZbB-.jpeg
 
Russe

Member
Apr 3, 2020
95
150
Simple observation,bashiru anajaribu kujichekesha ila beberu hacheki,na wazalendo maalim na TAL Wana Amani natural huku beberu naye Ana furaha
 
Ezekiel Mbaga

Verified Member
May 28, 2018
6,399
2,000
Simple observation,bashiru anajaribu kujichekesha ila beberu hacheki,na wazalendo maalim na TAL Wana Amani natural huku beberu naye Ana furaha
Upinzani cjui mna matatizo gani, akifanya CCM n kosa lkn jambo hilo hilo akifanya upinzani ni sawa
 
smaki

JF-Expert Member
Jan 23, 2019
1,256
2,000
Beberu Lina furaha baada ya kuthibitishiwa maslah yake
Wenyewe mlisema kwa kauli yenu!! na nukuu ''ukitaka kula lazima uliwe!!'' wengine wakitayalisha mazingira ya kumegwa ili tule mnalia! lia! hivi mnataka nini? hamueleweki!!!

Dawa ni kuwang'oa tu, na nimesema Jiwe hatukumtaka, safari hii John Pombe Magufuri hatumtaki tena hata hapo chato asiishi, aende uhamishoni visiwa vya Mayotte!

Jina hili Beberu harufu baya sana!
 
Muuza viatu

JF-Expert Member
May 14, 2020
304
250
Wenyewe mlisema kwa kauli yenu!! na nukuu ''ukitaka kula lazima uliwe!!'' wengine wakitayalisha mazingira ya kumegwa ili tule mnalia! lia! hivi mnataka nini? hamueleweki!!!

Dawa ni kuwang'oa tu, na nimesema Jiwe hatukumtaka, safari hii John Pombe Magufuri hatumtaki tena hata hapo chato asiishi, aende uhamishoni visiwa vya Mayotte!

Jina hili Beberu harufu baya sana!
Muda wa kampeni umeisha kapige kura ndio njia pekee ya unayemtaka eidha ashinde au ashindwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom