mwakajana
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 229
- 183
Enyi watu wa kale mnaojiita wahenga,naomba mnifahamishe tofauti kati ya BEBERU na KABAILA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukoo maarufu ni upi ?kabaila
NOMINOplural makabaila
- 1
mtu anayetokana na ukoo maarufu.
- 2
tajiri aliye na majumba na ardhi za kupangisha kwa faida yake binafsi au za watu wachache.