Jamaa yetu yeye anatalii tu!!!Ahangaike nini wakati nchi haina ndege?Ni kwamba hajifunzi hata kidogo,anakula good time tuSisi tuna kandege kamoja tena kanatumia piston engine. Hivi mkwerre huwa anajisikiaje anapotembelea nchi za wenzie na kushuhudia madege makubwa na viwanja vya kujimwaga. Kwa kweli kama ni tabia za uswahili, basi rais wa sasa Mhe. Kanali Mstaafu. Dr. Dr. Dr. (Heshima, UDOM & UTURUKI) JAKAYA MRISHO KIWETE. Ushamba upo damuni.
​Na nyie, sasa mbona air tanzania hamuweki bhana?!
​Na nyie, sasa mbona air tanzania hamuweki bhana?!
OR Tambo international airport south africa
KIA 2001
heathrow 1999
mahe international airport seychelles 1981
kaka hizo air tanzania za kitambo sio saizi maana saizi tunako kamoja kanakula chocho za tabora na kigoma