Beautiful



kaka vipi leo mawazo ya ndoa yamekuwa mengi nini? l.o.l
 
fanya mikakati bana!.....l.o.l
Kaka best man wewe halafu klorokwin, uporoto01 na wengineo wanakuwa maids wa kiume ila huyu klorokwin atasababisha maafa kwenye harusi lol!!!!!!
 
mkuu ukiona umeanza kupenda vitu hivi ujue karibia utatuaga kwenye hii kambi ya senior bachelors
 
Shem huyo,kumbe bado hujaoa????mi nahisigi wewe ni mutu ya ndoa na watoto...........heeeeeeeeeeee.......Go go TF,karibu kwenye maisha ya ndoa......:laugh::laugh:
 
kaka best man wewe halafu klorokwin, uporoto01 na wengineo wanakuwa maids wa kiume ila huyu klorokwin atasababisha maafa kwenye harusi lol!!!!!!

huyo best lady wa bi harusi ni wekee kabisa kabisa.....l.o.l kloro mc bana
 
mkuu ukiona umeanza kupenda vitu hivi ujue karibia utatuaga kwenye hii kambi ya senior bachelors

Nilikuambiaje lakini Samora,mbona husikii??umesema uko njiani niko hapa barabarani nakusubiri hufiki,ni kucheka kulilia harusi za wenzio????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…