Unaweza ukaambiwa kuwa inamilikiwa na Prince 'R'.
Yaani ingekuwa kwamba binadamu hawafi, lakini ndo hivyo, ni mpito tu.
Hashindwi yule kidoti
Unamuongelea yule Prince "R" a.k.a mmiliki wa gari moja tu tena Toyota saloon na kajishamba kamoja tu...Unaweza ukaambiwa kuwa inamilikiwa na Prince 'R'.