Beautiful white City

hata me nakuunga mkono, ningekuwa naishi hapo nahic uvivu wa kuoga ungenizidia

hyahahahahahah lohhhh
wewe wataka kuniambia sasa hivi we ni
mvivu wa kuoga mmhh naungekuwa unaishi
sehemu hizo za winter ndo kwanza bafu hukanyagi looohh
 
unantisha kupenda majotro ya dar. Mmh! Joto la dar natamanigi nitembee na vipande vya barafu kwapani.
..

mmmhhhh mie nalizimia hilo joto ile mbaya
natamani kuli bbea kila mabahaliii..tu u

nadhani ni sababu unaoga mara nyingi na
unavaa vimini vyako, vest bikini muda wowote
teh teh teh teh teh teh

umenichekesha kwa kweli eti barafu kwapani dahhh
 
hako kawinter kametulia, ila baridi iloyo A city sasa hv,kungekuwa na winter namna hiyo ungekuta nshatafuta wife.
 
hako kawinter kametulia, ila baridi iloyo A city sasa hv,kungekuwa na winter namna hiyo ungekuta nshatafuta wife.
HahahahaKazi kweli kweli..Itabidi nianze kufunga ajili Ya winter hapo A city lolz
 
Mmmhhhh BAK Jamani acha kunifuata Nyumbani kwangu Hahaha lolz

Duh! yaani kusema hivyo nimeshakufuata kwako 🙂 haya AD mie sitii neno tena, lakini ukweli ndio huo jiji limependeza 🙂
 
Kila sehemu ina raha yake dear Binafsi napenda sana joto la Dar.. 🙂

maeneo haya ya aiskilimu nyingi hivi, sikai hata kama sintaruhusiwa kutoka nje ya nyumba yenye heater, kwetu tumebarikiwa sana, japokua kuna joto, huwa siumwi ila kila winter lazima niumwe mara kadhaa, baridi si mchezo, na usijidangaye uendeshe hata baiskeli bila gloves, unaweza kuiacha huko huko nje teh teh
 

aah, aah, yaani hayo magloves mi yananikera kutembea nayo! halafu kuna maskaff mazito mazito, ma-underwear kama vile wanaita "vinyelamumo", majeans mazitomazito, makofia, makoti marefu mazitomazito tena yenye kofia, aagh, mtu unakuwa mzitooooo utadhani umevaa magwanda yenye mabomu!

God deserves all Glory and Honor!

i like dar!
 

post zako zimenichekesha unavyofagilia summer na makandokando yake, lakini kwa kweli uvaaji wa wakati huo huko kwa wenzetu, mmmh! huku kwetu japo mabinti tunalaumiwa tunavaa vibaya, kwa kweli hata robo ya huko majuu hatujafika.

enjoy your life there, but angalia usijepofuka macho!! tehe teh
 

du! ........................kama ingekuwa kweli hayo macho mbena ngeshapofuka zamani??................. teh teh....................
 
sisi mbona tunayo m1 inaitwa mt. Kilimanjaro.
:A S 103:
 
sisi mbona tunayo m1 inaitwa mt. Kilimanjaro.
:A S 103:

yap, kilimamnjaro is the only natural snow in africa and in te tropical zone which covers the tops of mawenzi and kibo throughout the year!

its one of the wonders of the world and the pride of tanzania!

i love tz,

Glory to God!
 
yap, kilimamnjaro is the only natural snow in africa and in te tropical zone which covers the tops of mawenzi and kibo throughout the year!

its one of the wonders of the world and the pride of tanzania!

i love tz,

Glory to God!

good point.................. ngoja nitaifanyia kazi hii...............
 
haha, ila nimekumbuka kitu kimoja, kuna eneo tuliulizwa kwenu kuna barafu? maana winter inakuja na huwa panasnow, hivyo jiandaeni na mavazi ya baridi, kuna mtu alisema hata kwetu ipo, tena kwenye FRIDGE, teh teh
 
AICHIKILIMU SA

All pics courtesy of News24

Harsh weather conditions near Nottingham Road in KwaZulu-Natal has caused havoc leaving several of the routes closed to traffic due to snow. (Netcare 911, Sapa)

The N3 highway at Van Reenen's Pass between the Free State and KwaZulu-Natal remains closed as a result of heavy snowfalls. (Netcare 911, Sapa)


News24 User Janse Van Rensburg sent these photos from Volksrust. Volksrust is a town in the Mpumalanga province of South Africa on the KwaZulu-Natal provincial border.









The tiny Free State town of Harrismith is under a blanket of snow after heavy falls overnight. The unusual weather caused the closure of a long stretch of the N3 highway, between Van Reenen's Pass and Villiers. (Sapa)

Many travellers moving between KwaZulu-Natal and Gauteng had to seek accommodation in Harrismith. (Sapa)

KZN - SNOW

(Janse Van Rensburg, News24 User)



(Cathedral Peak Hotel)
The mighty Ukahlamba/Drakensberg mountains
South Africans become kids at the first sign of snow, so to all the Snowmen






"Here's a pic of what my folks woke up to in Cofimvaba Eastern Cape this morning." (Cikizwa Nkuhlu, News24 User)

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…