Beautiful Rock City

hata kwetu mwanza ipo hiyo rock city!!!!!
 
Ukishindwa kuondoa stress kupitia jf basi hapo panahusika zaidi
 
Nyegezi kuna viwanja vya ukweli sana,kinachoniuzi wanaweka viingilio kama disco
 
Ziwa Victoria na hizo rocks zinapendezesha sana hilo jiji

Napenda sana usiku kunavyokua....kunapendeza sana
 
Sijawahi kutoka nje ya Dar es salaam hata siku moja, hope nikija mwanza nitapapenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…