Beautiful Africa-Rwanda.

Beautiful Africa-Rwanda.

Tuhimizane kutalii nchi zetu badala ya majigambo watanzania tutembelee Rwanda halikadhalika wanyarwanda watembelee vivutio vyetu .mimi binafsi nina hamu ya kutembelea nchi za West Africa. Tudumishe amani amahoro.

Yes,umeongea kitu kizuri ila wenzio hawa wala maharage hawawez kukuelewa wao kila kitu wivu na majungu na kulalamika
 
Hapa hatujaja kuonyesha ni wapi pazuri na ni wapi pabaya cha msingi ni kuelimishana maana kila nchi ina uzuri wake zaidi ya nyingine sasa naomba tusigeuze fulsa kuwa tatizo.kuna wanyarwanda wanaishi Tz na kuna wa Tz ambao wanaishi Rwanda sioni sababu ya mashindano

Achana na hawa wehu wao kila kitu kulingnisha tu yani
 
Jestkilla,, endelea kutupostia mapicha picha,, kwenu kuzuri kuliko kwetu nilishafika nikapapenda,, nataka nije nianze kufanya utalii huko kwenu

Ukitaka kuja tena utanistua tukazurure kila mahala ili uje kuadisia hum
 
Yes,umeongea kitu kizuri ila wenzio hawa wala maharage hawawez kukuelewa wao kila kitu wivu na majungu na kulalamika
Umwaka mfya mwiza,,turakusangira imana ivyose uravikora vigende neza.uri wachu inhogoro yu mwana.
 
Rwanda nzima ni safi taja huo mtaa,watz wengi wanapitia Rusumo na kuanzia pale mpaka unafika Rubavu via kigali ni safi.kigali kuna siku n usafi nchi nzima naona makonda alijaribu kufanya hivo watu wakaja juu na mchezo ukaisha Tz sijui tunaweza majingu Tuu hata sielewi
vp kupigana bunduk siku hiz hamna?
 
Mwalimu ukichelewa enzi hizo tungeshakabokoa haka ka nchi kitambo na kuwa mali ya TZ. Nchi ka wilaya moja tu ya TZ kwa km za mraba.
 
Mwalimu ukichelewa enzi hizo tungeshakabokoa haka ka nchi kitambo na kuwa mali ya TZ. Nchi ka wilaya moja tu ya TZ kwa km za mraba.

Israel kama Kinondoni ila ndio baba wa Dunia
 
ma beauty lakini usafi zero papuchi hawajuwe kuziosha wanatumia karatasi tupu
 
Back
Top Bottom