Dah! Mkuu umenikumbusha wanyambo, wale watoto wa wanyambo ni wazuri sanaInapendeza zaidi jirani zangu Karagwe, ni vyema mfanye juu chini mchukue ndugu zenu Karagwe wanaojifanya wanyambo na wahaya.
Hahahaah! Hapo ndo Kigali, ukienda km 1.5 kutoka hapo unakutana na mji mchafu kama Kibera.Duuh!;! Kumbe Rwanda panafanana na moshi.
Hahahaaha! Nimesoma Karagwe Secondari, kwetu Nkwenda Kyerwa kwakweli dada zangu ni watamu sana hasa kwenye katerero. Wanyarwanda niliwakinai sio wachoyo kabisa.Dah! Mkuu umenikumbusha wanyambo, wale watoto wa wanyambo ni wazuri sana
Unanitia hasira hapa. Nilikataa uhamisho wa kikazi wa kwenda mkoa wa Kagera, kumbe nilikataa utamu bila kujua.Hahahaaha! Nimesoma Karagwe Secondari, kwetu Nkwenda Kyerwa kwakweli dada zangu ni watamu sana hasa kwenye katerero. Wanyarwanda niliwakinai sio wachoyo kabisa.
Hahahaah! Hapo ndo Kigali, ukienda km 1.5 kutoka hapo unakutana na mji mchafu kama Kibera.
Otyoo!Jaman tuongee mambo ya maana na sio matusi kila nchi ina uzuri wake na mapungufu yake sio Rwanda wala Tz ya nini malumbano?tubadilishane mawazo,tuelekezane ni wapi kuna furusa yoyote na mengineyo maana wote ni majirani asanteni sana
[/QUOE]![]()
Usiishie kuweka za warembo, hata hawa na wanyarwanda
![]()
huyu ni wewe?