aah okey.ni mrembo kweliSijajua kwakweli ni nan
aah okey.nimewapenda mko vizuri.Genes za Rwanda hakunaga wafupi hilo la kwanza pili hatutumii hizi vipodozi wala kuweka nywele feki.
Mods Uzi wowote wenye lengo la kuichafua nchi yetu futilieni mbali au ufngeni...watu tumekunywa maji ya bendera ya mama Tanzania hatuko tayari kuona muhuni mmoja kutoka Rwanda anatuchafulia nchi yetu.
Please futilieni mbali nyuzi za namna hii otherwise waende kwenye majukwaa au social networks za nchi zao...
Ukisema unahamia eneo kwa ajili ya picha unaweza ukajikuta umehamia Syria bila kujua
mkuu ndio mji mkuu wa rwanda?
Mkuu mjibu Shemeji....baba hapo ni syria
![]()
![]()
![]()
![]()
Beautiful Tz iko wap
hahaaa Mara pap ISIS Hawa APA...Ukisema unahamia eneo kwa ajili ya picha unaweza ukajikuta umehamia Syria bila kujua
So you fall in a slump and get all emotionalSoma heading ya Thread wewe juzi tu nimeweka picha nzur za Angola shida iko wapi JF sio yako kama kuna sheria nimefunja wasingeruhusu uwepo mpka dakika hii sim unatumia ya watu weupe why husemi wanawachafuliq nchi yenu ushamba mzigo
Jestina upaja wako huo unaniachaga hoi sanaSyria ya mwaka gani.???