Beautiful Africa-Rwanda.

Beautiful Africa-Rwanda.

Hahahaaha! Nimesoma Karagwe Secondari, kwetu Nkwenda Kyerwa kwakweli dada zangu ni watamu sana hasa kwenye katerero. Wanyarwanda niliwakinai sio wachoyo kabisa.
Mkuu hivi wanyarwanda na watusi si wote wale wale tu?ushawafuatilia watusi kwenye kutoa nao co wachoyo au wao tofauti na wanyarwanda?
 
Wewe umeweka picha tu, mimi nimetembea robo tatu ya nchi ya Rwanda, nakaa huko vijijini najua maisha yao kiasi chake.....
 
Wewe umeweka picha tu, mimi nimetembea robo tatu ya nchi ya Rwanda, nakaa huko vijijini najua maisha yao kiasi chake.....

We umetembea me nimeish na ndio home KWETU PAZURI BANA.sijawaiona post hum ya kusifia Tz maana na nyumba zenu za majani zile sijui itakuaje
 
We umetembea me nimeish na ndio home KWETU PAZURI BANA.sijawaiona post hum ya kusifia Tz maana na nyumba zenu za majani zile sijui itakuaje
Na hapa nilikuwa naweka sawa vifaa vya kazi kwa mwezi huu Jan Kigali na Goma...
 
Rwanda ni sawa na nyanda za juu kusini,yaani mfano Tukuyu iwe nchi.Hakuna cha ajabu.
 
A landlocked country!!!!! [emoji57][emoji57][emoji57]

Hata Ethiopia Landlocked country sio kilema baba ake halaf utam wa landlocked country bidhaa mnatuletea sie twala samaki tu mtaleta tu sabab ya njaa zenu
 
Sikubahatika fika Kigali but Nilifika sehemu Moja inaitwa Kirehe, nilienjoy Sana aisee
 
Soma heading ya Thread wewe juzi tu nimeweka picha nzur za Angola shida iko wapi JF sio yako kama kuna sheria nimefunja wasingeruhusu uwepo mpka dakika hii sim unatumia ya watu weupe why husemi wanawachafuliq nchi yenu ushamba mzigo
We kuwa na adabu aise kwani kuweka hizo picha na ukawa mstaarabu shida ikwapi mpaka uanze kashfa
d7ba27d5e91ad5722f1f83d4444f6e33.jpg
53b58fa8da89c3c25538a00ae6b51c5f.jpg
60fb6a525e004e405e2ce6945bbe2b7c.jpg
fbc85f8fe8ed2c2d73b8f78945b35d20.jpg
3572c989cbc2a52df05f9b8a42dc4d21.jpg
a6e4713764f3179043e9ca6198bde2e5.jpg
c38165bbe0f80c71fe52ec48434b3bcc.jpg
056e0391cb2b10210d07251af09a2f17.jpg
828536644f47855c09bd60e82180cdae.jpg
cd772fd17517690ec544846d7ead3c83.jpg
b7b47201f97dc308485461e2e2ed2cd9.jpg
edae1316dc405d9d3b475bbf04b82652.jpg
41e3a7d9672b093d0fcf89154c5943b2.jpg
6bfb6460c55f1a1e1446f9b9470a3830.jpg
34e504d0d8052d03e012dd2f38e50628.jpg
1225937bc2cb1839a6b7eee5b5cdb75e.jpg
77c31f2fbb540f75da3bcba9a3789a73.jpg
f06cfc2783e0b2499f034361ffd41665.jpg
e00c799aef7d2230243ac6e28ba456ad.jpg
 
Back
Top Bottom