HISIA KALI
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 694
- 109
ninakubaliana nawe 2we wakweli na 2siwe washabiki km wanasiasa wa tzwewe ni muongo mkubwa, watu tuko majumbani tunaangalia bunge, wewe unaangalia bunge gani?, Bi Beatrice Shelukindo ni kweli ametetea waziri na naibu waziri wa nishati madini wasiwajibishwe kutokana na mfumo wa utendaji ulivyo ndani ya wizara kwamba unampa katibu mkuu wa wizara mamlaka makubwa ya kufanya maamuzi ya kiutendaji bila kumshirikisha waziri, LAKINI kumbuka kwamba mtuhumiwa mkuu wa Bi Shelukindo alikuwa ni ndg. david kitundu jairo
Hizi ni diwani za kusadikika.kama anaona serikali mzima inaunuka dawa sio kutowachukulia hawa wachache hatua. Tungemuona huyu mama kuwa anafikiria vizuri kama angetoa hoja kwamba serikali nzima inanuka hivyo iondoke madarakani ili wananchi wachague serikali nyingine haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Anaogopa yasije yakamkuta yaliyomkuta Mwakyembe
Mhe.Beatrice Matumbo
Shelukindo Mbunge wa Kilindi(CCM) aliyejipatia ujiko kwa kuibua suala la wizara ya nishati na madini kujikusanyia fedha haramu kusaidia bajeti yao ipitishwe leo ametetea watuhumiwa wake wasijiuzulu eti kwa kuwa serikali nzima inanuka, anaonekana kujutia kuleta barua ile bungeni. Naye kapokea kamgao?
wewe ni muongo mkubwa, watu tuko majumbani tunaangalia bunge, wewe unaangalia bunge gani?, Bi Beatrice Shelukindo ni kweli ametetea waziri na naibu waziri wa nishati madini wasiwajibishwe kutokana na mfumo wa utendaji ulivyo ndani ya wizara kwamba unampa katibu mkuu wa wizara mamlaka makubwa ya kufanya maamuzi ya kiutendaji bila kumshirikisha waziri, LAKINI kumbuka kwamba mtuhumiwa mkuu wa Bi Shelukindo alikuwa ni ndg. david kitundu jairo