Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
Utawakana hadi nduguze katika imani, mie niko pembeni nasubiri m~`break wind' hadi kande ziishe then nitarudi
we chakubanga koma kabisa na lugha zako za shombo??
na usidiriki kabisa kujumuisha mawazo yako ya kikuda na ujumla wa waislam,,na huwez kuwa muislam wewe kobelo,,abadan wewe ni kafiri tuh
KWA SABABU HUWEZI KUWA MUISLAM KISHA UKAWA MTU WA VURUGU,,KAMA WEWE NI HIVYO BASI JIHUKUMU MWENYEWE KABLA HUJAHUKUMIWA CHAKUBIMBI WEWE
Mwenye matatizo mengi ni wewe pekeyako kimpango wako,usijumuishe na wengine umeskia wewe?
Nawewe kama unaficha iman yako ni juu yako vile vile
KWA MUISLAM ANAEJITAMBUA KIKWELI KWELI HAWEZI KUWA NA VURUGU,,MUISLAM ANAEJITAMBUA LAZIMA AWE MPOLE,,MTARATIBU NA MWENYE STAHA KWA KILA NAMNA
NA YULE ASIEJINYONGESHA KWA MAKAFIRI NA KUONEA HAYA IMAN YAKE KAMA WEWE ETI KISA TUH YEYE NI MUISLAM
WEWE NI KIKOJOZI KAMA WALIVYO VIKOJOZI WENGINE
SHIKA ADABU ZAKO
Ok sasa kwa mfano tuseme uhuru umeletwa na waislamu watu wakakubali. Itatuongezea nini? vyuo? mashule? au dispensaries? au ajira
Vipi hii nguvu tungetumia kupiga harambees za kuanzisha projects zetu?tungekuwa wapi? sisi tunalalamika tunamlalamikia nani? je ata akitusikiliza itatuongezea nini? tuthink big jamani.
wenzetu wanazidi kupiga hatua wanajenga mavyuo kila kona mpaka mabenk sisi tumekaa kulalamika tunasubiri tuletewe mikononi. Ubinafsi mtu akipata hasaidii wenzake na hataki kuhusishwa na waislamu wenzie, au aliye na mwanga ni kazi ya kuchochea mapambano ya kutumia nguvu badala ya kupanga mipango tuhamasishane vipi kutengeneza vya kwetu.kwa kweli ni mengi..ila inaumiza sana . ila tutafika tu
Vipi adabu za kusikiliza zimesiha! Teh teh teh teh!
Huu si ukumbi wa FF mbona umerudi kinyemela swahba!
Miliwaeleza vijana wako, wasiniombe nije jamvini, wewe utakua unatokea uani, unaona sasa! ehee
Data zimewekwa, si zangu ni zako na wewe unawajibu wa kuthibitisha ni zako, halafu ufafanue
Umesubiri vijana wametia taka taka katika uzi, sasa unaibuka kutoka mafichoni.
Nakusoma na muda si mrefu nateremsha kitu, si changu ni chako kutoka katika kabrasha. Of course sehemu nyingine zimenyofolewa na panya, kama ujuavyo hapa Bonde tuna panya, hata hivyo ninakuhakikishia hazina ya maandiko yako, ninayo ya kutosha sana.
Nitarudi
I can see Nguruvi3 acting like a football fan blaming the player while he does not play even in the school ground. Kabrashas are damaged or some of it gone with Panya Buku now in Kova's custody, and don't tell me now the floods of the bonde flushed away the remaining kabrashas! Because since the day you said you will come back we only see you taking a peekaboo in the debate hall scared of even taking a step. Teh teh teh!
Ritz,
Huyu Nguruvi hajui kilitokea nini baada ya utafiti ule kugawiwa kwa kila
Muislam Tanzania.
Serikali haikusema kuwa sisi ni waongo au sijui "selective sampling," na
nini sijui.
Serikali ilipata mshtuko na wakataka kujua ni akina nani wamefanya haya.
Sisi tulikuwa tumesema kweli na tulikuwa sasa tunatafuta msaada wa umma
tujitoe katika dhulma ile.
Hii ilikuwa mwaka 1981 na baadhi ya makaratasi haya yaligawiwa kwenye
viwanja vya Bunge Karimjee Hall.
Waliochaguliwa kuingia Dar es Salaam University 1985 hadi 1990[/B]
Year Christians Muslims
1985/86 85% 15%
1986/87 84% 16%
1988/89 82% 18%
1989/90 82% 18%
Watendaji Wizara ya Elimu 1987
Muslim Commissioners 1 Christian Commissioners 7
Muslim Directors 6 Christian Directors 31
Serikali 1987
Muslims Christians
Ministers 4 16
Deputy Ministers 4 7
Principal Secretaries 2 16
Regional Commissioners 5 15
District Commissioners 8 113
Inasemekana hivi sasa ndani ya Bunge Wakatoliki wanahodhi 85% ya viti na hiyo 15% imeachiwa Wakristo wa madhehebu mengine na Waislam.
My take: Mohamed ulikimbia ukidhani nimeondoka,haya takwimu zako hizo hapo juu, tunaomba mchanganuo ili tujue zinaleta maana gani. Kwa jinsi zilivyo sasa hivi ni kichekesho kama si aibu, zikwamue kwanza kabla hujaandika lolote kihusiana nazoReligious Distribution University of Dar es Salaam 1971/72-1973/74
Year Muslim % Non-Muslim % Total
1969/70 17 83 100
*1970/71 - - -
1971/72 13 87 100
1972/73 14 86 100
1973/74 13 87 100
*1974/75 - - -
1975/76 15 85 100
*1976/77 - - -
*1977/78 - - -
1978/79 14 86 100
**1979/80 14 86 100
**1980/81 11 89 100
**1981/82 16 84 100
* Official Statistics not available
** Students selected for Faculty of Agriculture, Forestry and Veterinary Science and medicine not included.
Source: 1969/70-1978/79 University of Dar es Salaam Students Directory.
1979/80-1981/82 Daily News June 1979/1981
Mohamed Said
Table 2
My take: Mohamed ulikimbia ukidhani nimeondoka,haya takwimu zako hizo hapo juu, tunaomba mchanganuo ili tujue zinaleta maana gani. Kwa jinsi zilivyo sasa hivi ni kichekesho kama si aibu, zikwamue kwanza kabla hujaandika lolote kihusiana nazo
Tusaidie kufafanua nini kimeleta mshtuko kwa kuangalia hizo takwimu, na zimeeleza nini hasa
Tupe sample size, limitation, exclusion n.k. ili tubaini sehemu nilizokazia uzi mwekundu
Hebu zichambue hizo takwiu 12 zilizokupa conlcusion ili tuone ulifikiaje conclusion hiyo kwa kutumia data hizo
What is wrong with you Nguruvi3 you have your answers in the quoted note. The 2 sources:
1) UDSM Student Directory (Not Mr. Said's own data)
2) Daily News wich is the Government owened tool of propagation.
So why should he explain to you go to those sources and confirm if he is cooking the data or not?
Get serious, it seems the Panya Buku did not damage kabrashas only teh teh teh!
Mohamed Said
Table 2
My take: Mohamed ulikimbia ukidhani nimeondoka,haya takwimu zako hizo hapo juu, tunaomba mchanganuo ili tujue zinaleta maana gani. Kwa jinsi zilivyo sasa hivi ni kichekesho kama si aibu, zikwamue kwanza kabla hujaandika lolote kihusiana nazo
Tusaidie kufafanua nini kimeleta mshtuko kwa kuangalia hizo takwimu, na zimeeleza nini hasa
Tupe sample size, limitation, exclusion n.k. ili tubaini sehemu nilizokazia uzi mwekundu
Hebu zichambue hizo takwiu 12 zilizokupa conlcusion ili tuone ulifikiaje conclusion hiyo kwa kutumia data hizo
Ritz,
Huyu Nguruvi hajui kilitokea nini baada ya utafiti ule kugawiwa kwa kila
Muislam Tanzania.
Serikali haikusema kuwa sisi ni waongo au sijui "selective sampling," na
nini sijui.
Serikali ilipata mshtuko na wakataka kujua ni akina nani wamefanya haya.
Sisi tulikuwa tumesema kweli na tulikuwa sasa tunatafuta msaada wa umma
tujitoe katika dhulma ile.
Hii ilikuwa mwaka 1981 na baadhi ya makaratasi haya yaligawiwa kwenye
viwanja vya Bunge Karimjee Hall.
Mkuu, nipo kipembezoni nakufahamu huku natafuna karmati nashushia na shurbat ya karkadee.
Al Maulamaa Ustaaz Mtafiti mbobezi anakuja na hoja ya " Inavyosemekana" na bado anaita huo uchochezi ni utafiti, tutajua tu leo kama kijambakoti kitatosha au kitavuka kwenye historia yetu adhim.
NB: "Inavyosemekana" ni neno linalotumiwa zaidi kwenye mipasho na vijiwe vya kuzusha.
Ritz,
Mweleza kuwa waja wa Allah wanapokutana na wajinga wao husema: "Salama."
Mohamed Said
Table 2
My take: Mohamed ulikimbia ukidhani nimeondoka,haya takwimu zako hizo hapo juu, tunaomba mchanganuo ili tujue zinaleta maana gani. Kwa jinsi zilivyo sasa hivi ni kichekesho kama si aibu, zikwamue kwanza kabla hujaandika lolote kihusiana nazo
Tusaidie kufafanua nini kimeleta mshtuko kwa kuangalia hizo takwimu, na zimeeleza nini hasa
Tupe sample size, limitation, exclusion n.k. ili tubaini sehemu nilizokazia uzi mwekundu
Hebu zichambue hizo takwiu 12 zilizokupa conlcusion ili tuone ulifikiaje conclusion hiyo kwa kutumia data hizo
Mbuzimtu,
Nimemuuliza Prof. Hirji kajua lini upungufu katika historia kwa kuwa sijapata
kumsikia katika haya.
Ikiwa kajua zamani ningependa yeye mwenyewe aseme kwa nini siku zote
hizo alikaa kimya?
Ikiwa amejua baada ya Mohamed Said kuandika basi nitamuwia radhi kwa
yote kwa sababu yeye si mweledi katika dhulma dhidi ya Waislam.
Bahati mbaya wanaokuja kujibu si yeye unakuja wewe.
Mimi simlazimshi mtu kuamini haya nisemayo.
Mimi naandika kwa kuwa naamini nina dhima ya kuifahamisha jamii kile
ninachokifahamu.
Ni hilo tu.
basi nitamuwia radhi kwa
yote kwa sababu yeye si mweledi katika dhulma dhidi ya Waislam.
Mimi naandika kwa kuwa naamini nina dhima ya kuifahamisha jamii kile
ninachokifahamu.
Mkuu, nipo kipembezoni nakufahamu huku natafuna karmati nashushia na shurbat ya karkadee.
Al Maulamaa Ustaaz Mtafiti mbobezi anakuja na hoja ya " Inavyosemekana" na bado anaita huo uchochezi ni utafiti, tutajua tu leo kama kijambakoti kitatosha au kitavuka kwenye historia yetu adhim.
NB: "Inavyosemekana" ni neno linalotumiwa zaidi kwenye mipasho na vijiwe vya kuzusha.
Nyakageni,
Huyo jamaa nazungumzanae kupitia Maalim Faiza na Ritz.
Au hairuhusiwi?
Mzee wetu tunaendelea kukutahadharisha tena, malalamiko yako na uchochezi usipende kuyavika jina la historia hausikii, unasubiri uumbuke mara ngapi?
Mzee wetu wa Kariakoo gerezani, kile unachokifahamu hakiwezi kuwa historia ya Tanganyika history ni facts...Kila mtu angeleta kile anachokifahamu na kutaka iwe historia rasmi ya Tanganyika ingekuwa ni vurgu kubwa.
Naamini nimekufanza!!