Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

have always admire you, this a broad facet of our socio and economical evolution and developments , i know the truth will be resisted by many , but i give you my respect

Kumbe ni admiration yako kwa Hirji ndiyo inakutowa ufahamu, ni vyema tumeelewa hilo, lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, pitia kidogo jibu nililompa "admirer" mwengine wa "Professor" Hirji:

And you call criticizing a paper of history by "hypothetically..data.." proper?

In that case and if I agree with you (of which I am sorry to say I will not) you could come up with the history paper with the "hypothetical" Year 1297 of which Vasco Da Gama set sail in Kilwa for India instead of 1497 and be correct, when asked why? you will justify; just because "medical students use cadavers instead of real patients" so you have used hypothetical data?

What a vapid scholar you are. Not only you have used "hypothetically...data..." but you went further and used imaginary "four people" to give imaginary answers to your imaginary questions based on your historical incorrect "hypothetically...data..." .

And cadavers in medical school is your justification?

Nnawahurumia sana wanafunzi wanaofundwa na "Professor" kama huyu Hirji, hakuna zaidi bali wanajazwa ujinga tu.
 
Kwa hiyo unakubali kua PROF Anaweza kukosea kama wewe mkuu?

GAUTAMA.

Kuandika Peper kwa maana ya paper Inaweza kuwa sawa na
Kuandika maji maji badala ya mau mau?


Tumia akili na punguza ushabiki.
Huoni kama hilo la Peper ni spelling mistake na mwandishi hakuwa na muda mreeefu kusoma na hata kuhakiki kabla kama muda aliokuwa nao Unayejiita Prof Hirji alipokaa kitako na kuandika Paper yake na hata kuiwasilisha kwa jamii.

Acha kutetea UZEMBE wa Hirji.

Hivi ushangai hata mwenyewe Hirji ameliona hilo na ndio maana kajificha mbaaali kawaacha vibaraka wake mpambane.

labda nisaidie kumuulize JE Hirji ni Prof wa History?



 

The previous article was not complete. The administration has been replaced it by the provided complete original by special request of the Author (Karim Hirji)

Not only it "was not complete" it also had "kosa ya kitoto" according to the author.

Hilo la kuwa ililikuwa na "kosa ya kitoto" aliyoyafanya "Professor" ambayo kalisema mwenyewe "Professor" mbona limekuwa ni muhali kwako kuliweka?

Isitoshe hamkuweka muda wale tarehe ya ilipofanyiwa "editing", kulikoni?

Unanshangaza!
 
kazi mnayo wapenda dini,lakini umaskini wetu upo palepale haijalishi wewe muislamu au mkristo.
 

Nguruvi3,

Upo Mkuu.

Nilitaka nikusalimu tu Mzee wa Kunung'unika.

Hizi si anga zangu ingekuwa mas'ala ya uchumi ningeku dar'sisha kama kawaida yangu kwako.

Pooole

 
FaizaFoxy,
This is where the cardinal error of Karim Bhai. If we could believe the so called 'childish error' on Mau Mau fighting the Germans does he expect us we coudn't find The Four Imaginary People? And yet the diehards like Nguruvi3 insists on Prof. M.Said response! We have have responded on his behalf and now it is time that Karim Bhai to apologize for calling Prof. Mohamed Said a liar and all those negative accusation against him.
 
Last edited by a moderator:

Si ulishasema sasa utaandika, nami nikakupa ushauri kuwa ukaungane na wanaojiita Yericko Nyerere, Mag3, Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji nao pia walisema kuwa watajumuika pamoja waandike upya historia "inayopotshwa" na Mohamed Said, unangoja nini?

Halafu hilo la "tofauti na ndugu zetu Waisilamu wao waliweka yao kificho na inda kubwa," sijakuelewa unaongelea nini? hebu fafanuwa japo kiduchu ili tuelewane.

Kama unamaaanisha waliweka "historia" yao kificho, hilo si kweli, kwani kila kitu kinakwenda kwa majaaliwa na AlhamduliLllah Mwenyeezi Mungu ana shani yake, kampa kijana uwezo wa kutafiti na kuandika historia, anaetokea nyumba hizo hizo za historia ambayo tulikuwa hatuijuwi kaja kaandika historia ya wazee wake na kaiweka wazi, huyo si mwingine ni huyu huyu unaemsoma hapa Al Alama Mohamed Said.

Huwa anatueleza hapa, kuwa baada ya kuona Historia ya Kigamboni haikuwataje wazee wake nae anajuwa harakati zao tangu yu ngali mdogo na akisikia hadithi za kabla hajazaliwa akaona ni bora aandike historia ya wazee wake. Na hizi tunazozissoma leo ni baadhi ya rasha rasha zake.

Imekuwa mwao?

Na wewe kama unaona hakuwataja wazee wako basi labda hawajuwi na hajasikia habari zao, mbona kuna wengi wasio Waislam kawataja? au hujaona? pitia hii kidogo:

...other patriots like Chege Kibachia, Makhan Singh, Fred Kubai, James Kivu, I.K. Musazi, Erika Fiah and Gama Pinto as ‘’veteran leaders of the struggle of the peoples of East Africa... whom our recent historians have forgotten.’

Chanzo: Seminar: TANZANIA - A COUNTRY WITHOUT HEROES - Mohamed Said

Kipi kikusikitishacho?
 
Last edited by a moderator:
kazi mnayo wapenda dini,lakini umaskini wetu upo palepale haijalishi wewe muislamu au mkristo.

Mpaka 1985 nilikuwa sijauona utajiri wa Mengi, Bakhresa na wengineo wengi, sijuwi ilikuwaje wakaibuka ghafla tu baada ya hapo?

Moja ya nchi zenye kipato kikubwa duniani ni USA, cha kushangaza, nimewashuhudia masikini tena omba omba mitaani. Umeshatembelea New York?
 
Maalim Mohamed Said.

Unanipeleke mbali sana daa!!

Jim Brown, Franco Nero, Maurizio Merli, Chen Lee, Jimmy Carey, Foxy Brown, Fred Williamson. Na wengine wengi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ningependa tujadili purpose ya Nyerere kuivunja EAMWS ilikua nini ilhali vyombo Kama TEC na CCT ambavyo kazi na malengo yake yaliwiana Sana na EAMWS lakini hivi viliachwa?

Napenda Sana tujadili hili.

Lusungo,
Nakuwekea hapa mhadhara niliotoa Msikiti wa Mtambani kueleza miaka
ya mwanzo ya uhuru matatizo kati ya Waislam na serikali yalipoanza.

Ukielewa yaliyopitika kati ya 1961 - 1968 utakuwa katika hali nzuri ya
kufanya mjadala huu:

[TABLE="width: 601"]
[TR]
[TD]Historia ya Bakwata Mtambani Part 3 - Mohamed Said
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

Acha upuuzi wewe, kaangalie kwenye dikshenari peper maana yake nini, after all Hirji sio Prof wa History, kama Profesa Kimambo angefanya hivyo walau ningepata shida.

Hata Basil Davidson angeandika kama alivyoandika Prof Hirji bado sio tabu sabab hakua Prof wa History, tatizo ni hili la Mohamed Said kutojibu hoja za Prof.
 
Mimi siyo Prof mie muuza kahawa tu hapa mtaani kwetu Karatu.

Sasa kwa nini utumie lugha usioweza Ustadh?, na kama umeshindwa kuandika neno dogo namna ile je utawezaje kuwa na hoja za maana?,

Kwa sababu kama umeandika Peper badala ya Paper hii inamaanisha aidha ni kilaza, una pupa na hauna umakini.............
Nyie si mnajifanya infallible eeh, tutaenda tu sawa.
 
Unajuaje Ritz sio Prof, Dr. or any, au mpo Lumumba pamoja,

Naomba kwanza nijibu swali langu halafu uliza yako, ndiyo raha ya mnakasha ati:

By FaizaFoxy

"Professor" akikosea wanafunzi wanajifunza nini zaidi ya ujinga?
 

Kwi kwi kwi teh teh teh, hayo ni matusi kwa "Professor" afanyae "kosa ya kitoto" Hirji.
 

Kwa maana nyingine unatufahamisha kuwa Hirji kadandia treni kwa mbele. Kuna kitu niliuliza sijapata jibu, naomba nisaidie jibu:

Haya ndiyo maneno ya Hirji:

The volume of historic detail in Mohamed Said's paper, Tanzania: A Country without Heroes, is impressive. Little of this information is known. He makes a persuasive case that numerous individuals who made critical contributions in the anti-colonial struggle in Tanzania are either only partly acknowledged or completely suppressed in the official, popular and even scholarly discourse.


Mnataka Mohamed Said ajibu nini hapo?
 
Gautama,
Unapoweka "dots" zinatakiwa ziwe tatu tu"..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…