Ndio maana tunahitaji zile za ukweli za Mohamed, analysis yake kisha tuziweke katika mizani na hizi 'hypothetical' mnazosema."Hypothetically...Data...", imaginary "four people" who "interpreted" the "hypothetically...data...", with imaginary questions and imaginary answers, you call that "ukweli"?
Mau Mau kapigana na Mjerumani, tena anasingiziwa kuwa Mohamed Said kaandika hivyo, ndiyo ukweli huo unaotaka Al Alama Mohamed Said aje kuujibu?
Amma kwa hakika upunguani ni jadi kwa wengine.
Ahlan wahsalaam muungwana. Tafadhali rudisha moyo nyuma, matusi hayajengi.Don't you know the meaning of Hypothesis?
How can Hirji use hypothetical data to justify his critique? It is absurd!!! And you Nguruvi3 and your brothers in arms against Prof. M. Said are just pathetic bunch of diehards advocating the status quo and you want others to play parrots. It is pathetic!!
Dude, Prof Hirji's use of the so-called "hypothetical data" was for illustration purposes only as he clearly says so himself.
sio hoja ya uhuru wangu, ni kwamba watu wengi wanaodai wamesoma na hasa wale tunaojua wamesoma vizuri na kuelimika sana ndio watu wajinga sana.
Prof Hirji,na omba msamaha wenu. Haata profesa anaweza kufanya kosa la kitoto. Maana yangu ilikuwa
maji maji lakini kwa haraka niliandika mau mau.
Lakini kosa dogo kimoja kama hilo haliwezi kupindua logic na ukweli wa makala mzima.
Ni wale ambao hawataki kufikiria mambo kwa kiundani ndiyo watayanganganyia makosa madogo
madogo.
Prof. Karim hiri
Ndio maana tunahitaji zile za ukweli za Mohamed, analysis yake kisha tuziweke katika mizani na hizi 'hypothetical' mnazosema.
Vinginevyo, Mohamed Said aje aonyeshe mapungufu ya hizo data
Nadhani hapa mnanielewa
Prof Hirji,
Samahani lakini hii Peper yako uliyokuwa unamjibu Mohamed Said ulikuwa unaindika huku unakula Pariki nini.
Kwanza unatakiwa ufahamu kuwa JF inasomwa kila pembe ya dunia na mitandao ya kijamii wameishaichukuwa hii Peper yako "Pumba" na kusambaa kwenye Blog zao wakiamini ni Peper iliyojaa data na facts za kutosha sasa hawa watu utawasaidiaje kuwanasua kwenye huu ulimbo wa Mau Mau na Ujerumani.
Ndiyo maana unaona hata huyu alioileta hapa ukumbini aliamini imejaa data baada ya kuona imeandikwa na Prof, nashindwa kukutofautisha na Prof Maji Marefu.
Tatizo lenu nyie wahindi wengi wenu ni wafia Nyerere, shemeji yako Prof Shivji, na yeye heshima yake imeshuka baada kulazimisha Katiba ya Nyerere iendelee kutawala kwa mgongo wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere.
Angalia sasa unakula dengu bila pilipili.
Ahlan wahsalaam muungwana. Tafadhali rudisha moyo nyuma, matusi hayajengi.
Matusi hayazibi ombwe la hoja ambazo Mohamed anapaswa kuzijibu kwa ufafanunuzi.
Nina data za Mohamed kuhusu mambo ya elimu, nachelea nikizitoa zikawekwa na za prof itakuwa dhahma.
Huyu mzee wetu tumsitiri jamani, mnatusukuma tusikotaka kwenda. Chonde chonde, huko tuendako si kwema kwa MS
Unakumbuka ule uzi tuliochambua takwimu zake alizotoa daily news? Lahaualaa!
Huu uzi unaelekea kuwa mrefu na hoja za msingi za Profesa Hirji bado hazijajibiwa na hazitajibiwa,zimebaki ni kebehi, utoto,ushabiki,ubaguzi na dalili za kusalimu amri.
Mwenye kutakiwa kujibu kakimbia, wamebaki mbumbumbu wake wasema hovyo. Uzi ukifungwa litakuwa jambo la busara kuficha aibu ya mtu mzima aliyevuliwa nguo na kulinda hadhi ya jf.
Acha u-radical dada angu, na wewe umeanza kufikiria kuua binaadamu wenzio sababu ya mambo ya dini?
sio hoja ya uhuru wangu, ni kwamba watu wengi wanaodai wamesoma na hasa wale tunaojua wamesoma vizuri na kuelimika sana ndio watu wajinga sana.
Huu uzi unaelekea kuwa mrefu na hoja za msingi za Profesa Hirji bado hazijajibiwa na hazitajibiwa,zimebaki ni kebehi, utoto,ushabiki,ubaguzi na dalili za kusalimu amri.
Mwenye kutakiwa kujibu kakimbia, wamebaki mbumbumbu wake wasema hovyo. Uzi ukifungwa litakuwa jambo la busara kuficha aibu ya mtu mzima aliyevuliwa nguo na kulinda hadhi ya jf.
Dude, Prof Hirji's use of the so-called "hypothetical data" was for illustration purposes only as he clearly says so himself.
Al hajat, tuweke zile data za 'al alama al akly Mohamed Said ''kuhusu kile kile alichoongelea profesa? Mi naogopa, lakini naomba ridhaa yako ili yatokanayo, niwe nimeshanawa mikonoShow me one published historical paper with hypothetical Data and I will accept Professor Hirjis arguments blindly.
I asked him to do so too, he has vanished since.
Al hajat, tuweke zile data za 'al alama al akly Mohamed Said ''kuhusu kile kile alichoongelea profesa? Mi naogopa, lakini naomba ridhaa yako ili yatokanayo, niwe nimeshanawa mikono
Huu uzi unaelekea kuwa mrefu na hoja za msingi za Profesa Hirji bado hazijajibiwa na hazitajibiwa,zimebaki ni kebehi, utoto,ushabiki,ubaguzi na dalili za kusalimu amri.
Mwenye kutakiwa kujibu kakimbia, wamebaki mbumbumbu wake wasema hovyo. Uzi ukifungwa litakuwa jambo la busara kuficha aibu ya mtu mzima aliyevuliwa nguo na kulinda hadhi ya jf.
Dr Hirji KF,
I read with sadness your cheap argument/critique. But, more importantly, you too admitted that Dr Mohamed Said writings are not missing crucial facts!
I also noticed with horror your absurd comparison of unrelated phenomena, historical facts and/or triangular injustices!? Daah!
I just noted though, now you are trying to claim that your own article/critique to be "not the full version"!? Also you are "sorry" for mislead all of us by inserted a Maumau struggle at the place of Majimaji Warriors!?...that can't be just a typographical error, as you claimed!? Come on Professor, this is becoming too childish! Daah! Teeh! Teeh! Teeeh!
You sound bit exhausted and despair, Professor!? Where is your standard gonne,Sir!? Only few years of retirement taking its toll!?
It is allowed to have an opinion...however, simply having an opinion about a given topic and/or subject is not enough. You should know this, Prof Hirji!? Daah! So next time if you feel need to effectively criticize someone else's work/article, you must be educated enough about the particular topic/subject...Ok Sir!?
Your argument is the fallacy of relative privation, I mean is a form of the moral equivalence fallacy that takes note of the existence of things that are worse than what is actually under discussion, for different purposes...as outlined above from your critique/article.
I think it's popular with retired Professors, like yourself...who know perfectly well they're doing something wrong, being fully aware that they're doing something wrong...but, they feel compelled to attempt to justify it and do so by pointing to other(usually worse) actions and/or incidents! Daah!
Probably you have few different "valid" reasons why want to pull "a not as bad as" comparison!?
However, you put your argument in a more vulnerable position. Your explanation/s not only cheap to come from someone of your calibre, but the most blatantly fallacious form of the argument and is a hindsight version of the "not as bad as" argument, that states past actions can legitimise current actions!?
The existence of a worse or similar atrocity in the past and/or currently, however, doesn't actually justify anything...it merely point out that there have been similar thing in the past.
People like you Dr Hirji, who use this kind of argument as a justification may well be aware that it's fallacious but still use it as purely rhetoric or as a distraction!?
Or even worse...probably you decided to use this kind of absurd argument in your critique as a particularly underhanded emotional appeal, in an attempt to guilt-trip Dr Mohamed Said, in order to have him stop voicing his legitimate claim/s and/or his writings!? I'm afraid it is too late now, Professor!
Ahsanta sana!