Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides


Shukran Punjab singh,

Nakusoma kwa utuvu mno..!!

Sina shaka nawe siku zoote tupo kwenye Winning Team..!

Team hii ni moto wa kuotea mbali.

Wenyewe hao wanajua na mioyoni mwao humo wanakiri kwamba kwa Mohamed Said HISTORIA YA NCHI HII IMELALA HAPO,

SEMA UBISHI TUH,ILA HATA KAMA WAKICHUKIA HAKI ITAENDELEA KUZUNGUMZWA.
 
Last edited by a moderator:
Prof. Karim Hirji ameandika kisomi sana,hajabeba jazba za kidini. Hivi ndivyo namna wasomi wanavyotakiwa kujitofautisha na walalamishi.

ni watu wote tunapaswa kuchanganua mambo katika mfumo huu, hata Mohamed Said akijipa muda wa kujiuliza ni nini kinamfanya aangalie historia yetu kwa namna anavyoiangalia na kasha akajipa changamoto ya kuangalia kwa namna tofauti aone kama ataishia na majibu aliyonayo sasa, atajikuta anaiangalia historia kwa namna hii hii.

By the way, Historia imeanza Enzi za Baba na Mama Yetu Adamu na Hawa nini hii ya kina Nyerere?
 
Last edited by a moderator:
Alhabiby GS,

Prof anashindwa kutofautisha baina ya MAU MAU na MAJI MAJI.

:heh: :heh:

Shukran Kaka na tuko pamoja kwa saana! Nimekusoma na nimekufahamu kwa utuvu mwingi mno, japo Bwana Hirji asipofanza tahadhari basi aezageuka yakua Professor of comedy....yaani mtaalamu wa dhihaka na mas'khara!? Daah! Teeh! Teeeh!

Yaani ukasoma kwa undani ile critique ya huyu mwanataaluma Bwana Hirji...basi utayaona mapungufu mangi kiasi...kuliko hata yale anayojaribu kuyatolea yeye mapungufu! Daah!

Mfano kiduchu, yaani jinsi ile mojawayapo ya premise yake alofanza na ile mifano na kushabihisha alikofanza...basi haina tafauti na labda na Mwanamke anaekwenda lalama kwa mwenyekiti wa kitongoji kukhusu domestic violence zinazomsulubu...lakini anapewa majawaba yakua, wee endelea kustahamili tu, maana hilo ni tatizo lenye kuwasulubu wanawake wanzio takriban woote wa kitongoji hiki!? Duuh!

Yaani nalistaajab mno, kumsoma Dr Hirji akijiweka penye level ya chini kiasi kile...tena huku ati aki-justify kwa kutuekea zile triangular excuses/explanations za mifano ya pale Amerika and USA, sexism na mangineyo... na hata kuthubutu kufananiza history zisolingana kwa mangi, ili tu kuandika na kutetea mfumo mbovu uloasisiwa,kusimikwa na kurithishwa Taifa letu changa toka kwa yule "Baba Taifa"! Daah! Yaani Hirji kwa hili simlaumu mno, maana yeye na genge lake wanafahamika yakua ni Nyereres' apologists!

Jangine muhimu zaidi...yeye Dr Hirji kabla ya kufungua mdomo wake na kuwaasa wangine waache kulalama...yatakiwa pia yeye kama Tanzanian with Indian Sub Continent background...ni priviledges na social favours zipi walifaidika nazo tangia zile nyakati za Wakoloni dhdi ya wale Natives/Indigenous...japo kwa hizi never ending political correctiness zilotamamalaki hivi sasa hunu duniani...hii yaeza kuchukua tone ya racism au hata discrimination...lakini soote twafahamu yakua hii ni reality itokayo ndani ya historical facts!

Yaani Dr Hirji, yatakiwa awe cautious japo kiduchu anapofungua mdomo wake hadharani...khasa ukazingatia yakua yeye na society yoote ya Asians with Indian Sub Continent background wamepata/wamefaidika na priviledges/social favours, na kuekewa ile safety net tangia zama za ukoloni na haikua tafauti kubwa mno hata baada ya uhuru! Sasa ataezaje yeye kuthamini amma kuyatambua kwa kina matatizo na nakma za Natives Muslims, Animists or even Christians!?

Nakhis tafauti kubwa hapa yajionyesha kuwa...yeye Prof Hirji anatumia tu zile academic theories ku-justify maandiko yake amma kwa hapa hiyo critique yake! Lakini yeye mwenyewe anafahamu yakua hata zile socialist ideology alizokua akifuata na kujinasibu nazo tangia zama zile, ilikua ni kama hobby au ile intelectual luxury tu!

Sasa, yeye Dr Mohamed Said History anayoizungumza ni yakua ameishi history hiyo...yaani ana ile social,political and blood connection ya hizo harakati za mapambano ya kuleta Uhuru wa Taifa letu!

Hao baadhi ya hata walokua wanaharakati wakuu/mashuhuri zama hizo au anaowazungumza penye mangi ya maandiko yake...basi kwa njia moja amma nyangine pia walikua ni jamaa zao...yaani kwa lugha za kisasa nafikiri mwaita ndo ile "family friend"!?

Yanilazim kugura hapa kwa muda...tajitahidi labda kurejea tena kesho!

Ahsanta sana!
 

Mkuu, Heshima yako pokea.

Mimi ntakuuliza swali moja tu.

Hivi bila binaadamu kuwapo Uislamu hauwezi kuwapo?
 

Teh teh teh!
Leo Kondoo mlevi anamuhimiza Muungwana kwenda shule? Dahh!
Dunia inaekea mwisho.

Wewe na Mchumba wako Nyakageni mnaweza kutusaidia ufahamu wa kiwango cha elimu yenu? Au hicho kipaimara pia imeshakuwa ni Elimu!

Mlevi nuksi wewe!
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said

Prof yupo jamvini, njoo uongee naye kama ulivyohitaji siku mbili zilizopita

"Professor" kishakiri hapa hapa jamvini, tena post yake ya kwanza kabisa kwa jina lake, unless iwe si yeye kwani si verified member aliyejiita Hirji, kuwa alichokileta jamvini kina makosa na siyo full version na kaomba msamaha kwa hilo. Sasa unataka Mohamed Said ajibu nini zaidi?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Mi nilidhani elimu bora ni ile inayokufanya kuwa mjinga?
 

Yupo sahihi wakati kakiri mwenyewe kuwa kafanya makosa? na kakiri kuwa hata hii iliyoletwa humu siyo "full version", wewe unasema yupo sahihi, yeye mwenyewe kaingia humu na kusema kweli kuna makosa "error".

Sasa tukuamini wewe usiyejuwa hata kilichoandikwa ni nini au tumwamini Hirji aliyekuja kukiri kuwa kuna makosa?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Una haki ya kudhani chochote udhaniacho. Upo huru.

sio hoja ya uhuru wangu, ni kwamba watu wengi wanaodai wamesoma na hasa wale tunaojua wamesoma vizuri na kuelimika sana ndio watu wajinga sana.
 

Dude, Prof Hirji's use of the so-called "hypothetical data" was for illustration purposes only as he clearly says so himself.
 
teh teh teh

Mkuu Bill,

Huyo Mkolosai anaeitwa matumbo akli yake ni mbovu kama sura yake tuh teh teh teh

Nimeisoma comment yake wallahi nikacheka saana kwa kweli,

Hapa nyumbani nachofanya ni kwamba mtoto wangu akilia HUWA NAICHUKUA HIYO SURA YAKE MBAYA KISHA NAMTISHIA NAYO,

LAZIMA AACHE KULIA teh teh teh
Teh teh teh!
Leo Kondoo mlevi anamuhimiza Muungwana kwenda shule? Dahh!
Dunia inaekea mwisho.

Wewe na Mchumba wako Nyakageni mnaweza kutusaidia ufahamu wa kiwango cha elimu yenu? Au hicho kipaimara pia imeshakuwa ni Elimu!

Mlevi nuksi wewe!
 

"Hypothetically...Data...", imaginary "four people" who "interpreted" the "hypothetically...data...", with imaginary questions and imaginary answers, you call that "ukweli"?

Mau Mau kapigana na Mjerumani, tena anasingiziwa kuwa Mohamed Said kaandika hivyo, ndiyo ukweli huo unaotaka Al Alama Mohamed Said aje kuujibu?

Amma kwa hakika upunguani ni jadi kwa wengine.
 
Last edited by a moderator:
Dude, Prof Hirji's use of the so-called "hypothetical data" was for illustration purposes only as he clearly says so himself.

kwaiyo,

hypothetical data ni kigezo faa kwa kufanyia justification za criticisms zake??

JIBU SWALI,KISHA PIGA MAGOTI..!

:heh: :heh:

Mwenyewe Prof nahis kesharusha Taulo Ulingoni...!!
 
teh teh teh teh

LEPROFESERIIII...

Nchi hii imekwama sana.

Wallahi.
 

Teh teh teh!
Profesa umenisababisha Nicheke vibaya hapa.

Ni imani yangu kuwa wewe ni ktk ile jamii ya wenzetu wenye asili ya kihindi.
Nakuuliza, we ukimsifu mkeo kuwa ni Hodari sana mbele za watu halafu ukimwambia Mkeo awapikie wageni wako Jelebi halafu yeye akapika Chanabateta ile sifa ya Uhodari bado atakuwa nayo?

Huo U Profesa Uko wapi Km unashindwa kutofautisha MAU MAU na Maji Maji?
 

This kind of half-ass attempt won't convince nobody. You'll need to do a whole lot more work than the gibberish above if you seriously intend to challenge Prof Hirji's thesis.
 
This kind of half-ass attempt won't convince nobody. You'll need to do a whole lot more work than the gibberish above if you seriously intend to challenge Prof Hirji's thesis.

teh teh teh

we mvaa mahereni umevurugwa sana

mwenyewe jamaa yako kaangusha taulo huko ajabu wewe kalubandika unajikamua kamua siyo??

we jikamue tu uchafue hali ya hewa,,ukinyea kitanda si chako mwenyewe??

teh teh teh mwishowe utafanya mwenyewe usafi wa shuka zako,,teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…