THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,698
- 15,016
Kandukamo1,
Unang'ang'ania kuwalazimisha wanafunzi wawe mapagani.
Ilishafanyika tafiti na Warsha mwaka 1981 kuusu matatizo haya haya ya
dhulma katika elimu kwa Waislam.
Hicho kipengele tunakijua sana.
Nilishawishika kukupuuza kwa kuwa hakika nimekasirika.
Nasema moyoni hivi huyu anajiona yeye ndiyo mwenye elimu peke
yake na sisi sote ni mbumbumbu hapa pamoja na Mzee Kondo?
Mzee Kondo kasoma Howard University, Washington DC.
Kozi yake ilikuwa Strategic Studies.
Hilo si swali la kutuuliza sisi.
Fanya utafiti wako na tuletee idadi ya wanafunzi mapagani hapa JF.
Katika Mahojiano na Mzee Kondo Nyumbani Kwake Upanga, Dar es Salaam
Kadri nitakavyojaaliwa!Mkuu Nguruvi3.
Ukifurisika tunakuomba utufanyie tafsri kwenye haya maandiko ya Professor wetu bingwa Hirji.
Said implies that Muslims were at the forefront of the Mau Mau uprising against German rule. But he fails to note that the Germans used Kiswahili, and for a time, the Arabic script, to administer the colony. That was strongly opposed by Christian missionaries. The German colonial authorities utilized the existing Madrasa system to recruit low-level clerks.
Lengo hasa ni kutaka kujifunza na swali nililokuuliza dhima yangu ni hiyo, lakini kama umekasirishwa kwa swali langu basi naomba UNIWIE RADHI.Kandukamo1,
Unang'ang'ania kuwalazimisha wanafunzi wawe mapagani.
Ilishafanyika tafiti na Warsha mwaka 1981 kuusu matatizo haya haya ya
dhulma katika elimu kwa Waislam.
Hicho kipengele tunakijua sana.
Nilishawishika kukupuuza kwa kuwa hakika nimekasirika.
Nasema moyoni hivi huyu anajiona yeye ndiyo mwenye elimu peke
yake na sisi sote ni mbumbumbu hapa pamoja na Mzee Kondo?
Mzee Kondo kasoma Howard University, Washington DC.
Kozi yake ilikuwa Strategic Studies.
Hilo si swali la kutuuliza sisi.
Fanya utafiti wako na tuletee idadi ya wanafunzi mapagani hapa JF.
Katika Mahojiano na Mzee Kondo Nyumbani Kwake Upanga, Dar es Salaam
Narudia tena Mohamed Said kasema
Nyerere kaja Dar mara ya kwanza 1952 nyie mnasema kapotosha kwa faida ya JF na wafuatiliaji wa huu mnakasha tuambieni lini alikuja Dar kwa mara ya kwanza.
Usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mapuya na kuleta JF.
Tuwekee MOU ya Aghakan na serikali.
Nyie ni wa kuwapuuza tu, mtakalia hayo hayo tu. Wenzenu wanasonga mbele. Kwa sababu ya upuuzi wenu bakin hivyo tu kaMzee Mohamed Said nakupigia Salute kwa Subra zako na maneno yako ya hekima.
Mimi hawa Waefeso huwa sina subra nao kabisa.
Damu ya bwana imewachafua kiasi kwamba kila wakiona Muislamu basi Lzm walete Kejeli na Kashfa.
Kweli nimeamini Wale wachungaji wana haki ya kuwalia pesa zao kijanja.
Manake inataka subira ya ziada Kufundisha Kondoo mpaka aelewe
The Big Show,
Siku zote huwaambia watu kuwa mimi si kama ni mjanja sana kujua historia
hii.
Hapana.
Mimi bahati yangu ni kuwa nimezaliwa na wazee hawa na kwa wakati ule
wao wakiwa katika mapambano na ukoloni wa Waingereza.
Baadhi ya mambo nimeshuhudia na baadhi ya watu nimewaona kwa jicho
langu.
Lakini mimi nimezaliwa mjini na huku kuzaliwa mjini peke yake ni elimu
tosha.
Nimejua mengi na nimejifunza mengi kwa kuwa katika mazingira haya.
Wazee walikuwa wakali kuhusu dini, maadili na adabu.
Nyie ni wa kuwapuuza tu, mtakalia hayo hayo tu. Wenzenu wanasonga mbele. Kwa sababu ya upuuzi wenu bakin hivyo tu ka
Nyie ni wa kuwapuuza tu, mtakalia hayo hayo tu. Wenzenu wanasonga mbele. Kwa sababu ya upuuzi wenu bakin hivyo tu ka
Hilo swali nauliza mimi siyo Mohamed Said naombeni majibu ni lini Nyerere kwa mara kwanza alifika Dar es Salaam?alipewa ushahidi na anajua hilo, kama huamini nenda Makumbusho Butiama jirani na Kaburi la mwl Nyerere
Mzee Mohamed Said nimehoji ukokotozi wa Kitwana Kondo ati asilimia 71 waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka 1999 walikua waislamu na asilimia 29 walikua wakristo, (71+29=100). Kwa hesabu hiyo unataka kuniambia watahiniwa wote wa mwaka huo walikua waamini wa imani za kimapokeo na sie wa imani za kishenzi hatukua kati ya watahiniwa?
cc. Nyakageni, Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji.
huyo mbunge ana akili kama ya Lusinde Livingstone ila mzee Mohamed anaona ndio guru wake.
Ni mjinga tu ataamini kuwa mwaka 1999 kulikuwa na 79% ya waislam shuleni. Mwenye ku reason atasema huo ni ujinga
IELEWEKE UJINGA SI TUSI
Tumeona jinsi mnavyosonga mbele kwenye ESCROW wana kwaya watupu.Nyie ni wa kuwapuuza tu, mtakalia hayo hayo tu. Wenzenu wanasonga mbele. Kwa sababu ya upuuzi wenu bakin hivyo tu ka
Sibonike,
Usiwe na haraka ya kutoa hukumu.
Mjadala ndiyo kwanza unaanza.
Ila nitakudokeza moja tu.
Prof. Hirji awe kama atakavyokuwa.
Hakubeba mzigo waliobeba Waislam katika ukoloni toka Wajerumani
hadi Waingereza.
Ukitaka kujua mtoto yatima anahisi vipi kufiwa na wazazi wake wawili
muulize mwenyewe.
"mwanangu siku ya Iddi watoto wenzako wamevaa nguo
mpya wamenunuliwa na baba zao wewe huna umejikunyata kibarazani
na matambaa?"
Jibu lake litakusogeza kwenye ukweli na uhakika.
Prof. Shivji hajapita tulipopita sisi.
Atazungumza na shingo kutoa kwa kuwa hana hata uzoefu wa mtoto
wa shangazi yake katika haya Waislam wanayolalamika.
Suali moja nitapenda Prof. Hirji anijibu.
Upungufu katika historia ya Tanganyika aliujua lini?
Aliujua kabla au baada ya Mohamed Said kuusema?
Ikiwa aliujua kabla kipi kilimfanya akae kimya siku zote hizi?
Uoga au kitu gani?
Wewe rudi kwenye jukwaa lako la ngono hapa siyo mahala pako.huyo mbunge ana akili kama ya Lusinde Livingstone ila mzee Mohamed anaona ndio guru wake.
Ni mjinga tu ataamini kuwa mwaka 1999 kulikuwa na 79% ya waislam shuleni. Mwenye ku reason atasema huo ni ujinga
IELEWEKE UJINGA SI TUSI
this is utter nonsense palatable only for gullible and headless followers who cant tell whether the king's balls are out executing simple harmonic motion
Lengo hasa ni kutaka kujifunza na swali nililokuuliza dhima yangu ni hiyo, lakini kama umekasirishwa kwa swali langu basi naomba UNIWIE RADHI.
MATHEMATICAL problems needs MATHEMATICAL solutions.
Hilo swali nauliza mimi siyo Mohamed Said naombeni majibu ni lini Nyerere kwa mara kwanza alifika Dar es Salaam?
Kuna tatizo gani kujibu mpaka niende Butiama wakati jibu mnalo.
Nasubiri majibu.