Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?
alishindwa kutabiri madhila ya kanisa lake, yeye na Gwajima ni matapeli wa kufa mtu
Leta clip inayoonyesha huo utabiri siyo unaongea tu kutokana na maneno maneno ya watu tunataka uhakika wa utabiri huo
Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?
hawa wachumia tumbo wamejidhallsha sana yule wakujiua yupo ICU yule gwajima now anamalizia malimao yake.
Wakuu muwe mnafuatilia mambo vizuri na kuwa na kumbukumbu. Suala la eti TB Joshua alimtabilia Lowasa kuwa raisi lilianzishwa na yule mama mbunge Shelukindo lakini TB Joshua mwenyewe alikanusha kuwahi kumtabiri Lowasa kuwa atakuwa raisi na matangazo take yalitoka hata magazetini ingawa Lowasa amewahi kwenda kwa TB Joshua. Najaribu kutafuta Hilo kanusho nikipata nitalibandika hapa
Totos Boss za asubuhi bwanaHautotimia asilani abadani.
Utakuwa umefanya la maana sana kuleta kanusho..lakini kwa sasa tusimamie pale pale amemtabiria..mpaka vinginevyo
Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?
Weka hapa huo utabiri kama unahakika na maneno unayoyasema. Hawezi mtu kuweka ushahdi wa kitu ambacho hakikuwepo. Na kama unabisha, weka ushahidi kwamba mimi Tabby sijafika Sobibo!.
Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?
Kila siku tunawaambia humu,tbj hajawahi kutoa unabii kuhusu El,hivi tuwaambiaje muelewe!?
Mbona mnapenda kumlisha maneno!!!
Haya anaejua au aliyeona huu unabii ukitolewa atupe link, coz nabii zote huwa live na zipo ht uki search ss
Kila mtu anajua hilo labda kama umeingia jf jana..but clip zilikuwepo
Usimuhusishe Tbjoshua na upumbavu wenu, hajawahi kutoa unabii Kama huo, mambo yenu ya kutunga ndio maana nchi inakuwa na Watu waajabu na wasio na mwelekeo!!!