So what! Haters bwana hamuhishiwi kasoro! Utasema pia wakati anaimba hakuoga n.k ila ndo keshautoa na unabamba kinomanoma wewe na Chuki yako chukia au jinyonge kwa baxoka.
So what! Haters bwana hamuhishiwi kasoro! Utasema pia wakati anaimba hakuoga n.k ila ndo keshautoa na unabamba kinomanoma wewe na Chuki yako chukia au jinyonge kwa baxoka.
aaaaahaaaaaaa wachawi wameanza kuwanga mchana kweupeSo what! Haters bwana hamuhishiwi kasoro! Utasema pia wakati anaimba hakuoga n.k ila ndo keshautoa na unabamba kinomanoma wewe na Chuki yako chukia au jinyonge kwa baxoka.
Wimbo mpya wa ally kiba beat inafanana na wimbo wa matonya( unanimaliza) ... Nadhani watalaam wa muziki mnaweza kugundua producer alifanya nn maana mi naona kilichoongezeka ni guitar tuu ila beat linafanana naweza sema producer alisample wimbo wa unanimaliza..
Wanaofahamu zaidi jinsi ya kusample beat natumai watakuwa wameelewa zaidi....
Nadhani ili la beat kufanana nili liona mapema baada ya kuusikia huu wimbo yani unapo anza tuu unaweza fikiri ni huo wa matonya yani beat hile hile huyu producer kamuharibia kabisa wimbo ulikuwa mzuri sana!
Ngoja matonya atafunguka soon.

aaaaahaaaaaaa wachawi wameanza kuwanga mchana kweupe