Beat ya wimbo wa Ally Kiba inafanana na wimbo wa Matonya

Producer ni Abidady wa chaderz records, pia ndiye aliyetengeneza ngoma ya matonya
 
Maproducer wengi beat zao hufanana, mfano beats za nahreel au Dunga so hakuna aliyecop
 
bongo clan
sikiliza nataka kulewa na amekua wa pasha ndo uje kumponda kiba mnafkiiii weweeee

Nilitaka kukamata unaujua wimbo huo wa chamelleone au unahadithiwa kuwa unafanana na zari la mentali
 
Wimbo mpya wa ally kiba beat inafanana na wimbo wa matonya( unanimaliza) ... Nadhani watalaam wa muziki mnaweza kugundua producer alifanya nn maana mi naona kilichoongezeka ni guitar tuu ila beat linafanana naweza sema producer alisample wimbo wa unanimaliza..

Wanaofahamu zaidi jinsi ya kusample beat natumai watakuwa wameelewa zaidi....

Mkuu Mimi nimekuelewa sana.umeongea ukweli mtupu
 
el nino acha wivu wa kike ku sample beat its not a big deal.....sikiliza Zuwena~weasal & Radio Vs No one be like you~Psquare.......Me and my girlfriend~2pac Vs Just died in you arm~Jay Z.......Cha msingi hapa Kiba kawakomesha mamaeeeee zenyuuuuu

Hahaha nashangaa mnatetea hoja yenu kwa wivi meingine huenda hao waliocopy waliacknowledge sasa huyo kiba mbona leo wakati anarelease ngoma hakusema wazi tu hii beat ni kama ya matonya
 
Last edited by a moderator:
Hahaha nashangaa mnatetea hoja yenu kwa wivi meingine huenda hao waliocopy waliacknowledge sasa huyo kiba mbona leo wakati anarelease ngoma hakusema wazi tu hii beat ni kama ya matonya
umeshasema "huenda" wame acknowledge kwahiyo hata kiba "huenda" ame acknowledge pia shida iko wapi? ukiniuliza wapi kiba ame acknowledge na mimi nitakuuliza wapi JayZ na wakina weasal wame acknowledge....ndio maana nikasema cha msingi hapa hii ni boooooonge la ngoma...Asante kiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom