Beat ya wimbo wa Ally Kiba inafanana na wimbo wa Matonya

haujatengenezwa combination sound huu wimbo kafatilie..aliye utengeneza ni producer mpya labda ndio maana kakopi beat

Wimbo Wa matonya katengeneza Ebby Daddy ndani ya Chaiders

Na wakiba katengeneza ebbydaddy ndani ya chaiders guitar ikapigwa na iloso
Mixing ikapigwa na man water pale combinenga

Na nyimbo zote za ebbydaddy ndio zinavyoanza tafuta hii ya shebb love isikilize inaitwa Baikoko
Ukimaliza rudi hapa
 
Attachments

  • 1425107601078.jpg
    1425107601078.jpg
    30.3 KB · Views: 172
Wimbo Wa matonya katengeneza Ebby Daddy ndani ya Chaiders

Na wakiba katengeneza ebbydaddy ndani ya chaiders guitar ikapigwa na iloso
Mixing ikapigwa na man water pale combinenga

Na nyimbo zote za ebbydaddy ndio zinavyoanza tafuta hii ya shebb love isikilize inaitwa Baikoko
Ukimaliza rudi hapa

Yaah Now nimeelewa hata hiyo nyimbo ya baikoko beat ni kama ya Kiba ...basi sawaaa...
 
Sasa kumbe beat ni "Kama ya" inamana beat sio "Ya" basi sawa, ebu mpongezeni uyo kijana kazi iyo ni nzuri acheni hizi team zenu zinawaharibu vichwani, utoto unawajaa mwingi
 
Wimbo Wa matonya katengeneza Ebby Daddy ndani ya Chaiders

Na wakiba katengeneza ebbydaddy ndani ya chaiders guitar ikapigwa na iloso
Mixing ikapigwa na man water pale combinenga

Na nyimbo zote za ebbydaddy ndio zinavyoanza tafuta hii ya shebb love isikilize inaitwa Baikoko
Ukimaliza rudi hapa

Hivi kwenye dunia ya leo tunayoishi na music kutengenezwa kwa electronic devices unategemea kitu gani kipya? ....kwanza zile beat zipo tofauti ila kwa sikio lako unaweza sikia kama kitu kimoja. .....kwa matonya ametumia gitaa na kwa ally kiba katumia kama marimba. .....kwa matonya ukisikiliza tempo na pitch ya wimbo ipo juu tofauti na ally kiba. .......halafu kwenye music kuna kitu kinaitwa sampling, hata wakina Dr dre wanatumia sana. .....hapa bongo dj bonny luv kafanya sana sampling kwenye nyimbo za bongo flavour kwa sababu sio dhambi.

Beat zipo tofauti, tempo tofauti hata pitch zipo tofauti. ........kwa kiba inasikika marimba na kwa matonya inasikika gitaa. ....sikiliza vizuri gitaa la matonya then rudi kusikiliza marimba ya kiba uone kama ni kitu kimoja. ...then nenda kasikilize wimbo wa 'shabab nampenda' wa kiba na geez mabovu, unaweza kuja na kusema kiba kajiibia beat

:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big: :eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
uzombie ni shida sana, siku kiba hata akinya barabarani kuna mazombie yatasema kiba ni noma.
 
Serious mkuu

Unajua kuwa Dr. Dre's kwenye albamu ya The Chronic" ambayo ilikuwa na hii global hit " Nuthin' But a "G"
Thang", ali-samples "I Wanna do Somethin'
Freaky to You" nadhani aliimba Leon, pia kwa Snoop
" Doggystyle " pamoja na 2Pac's " All
Eyez on Me"...?

Ndo maana hata Duke pia huwa ana-sample Hii kitu siyo kosa ndo maana kuna muda pia huwa wana washirikisha hata wahusika wa nyimbo, hata coolio nyimbo yake ya "Gangster Paradise" alisample nyimbo ya Stevie wonder sikumbuki jina lake vuzuri "........ Paradise" (ila na yenyewe ina ishia ivo)

So alichofanya Kiba siyo illegal

Sema kwa nini si kosa ? Sampling yoyote lazima upate ruksa kutoka kwa mwenye nyimbo original, unajua copyright infringement ?
 
Hivi kwenye dunia ya leo tunayoishi na music kutengenezwa kwa electronic devices unategemea kitu gani kipya? ....kwanza zile beat zipo tofauti ila kwa sikio lako unaweza sikia kama kitu kimoja. .....kwa matonya ametumia gitaa na kwa ally kiba katumia kama marimba. .....kwa matonya ukisikiliza tempo na pitch ya wimbo ipo juu tofauti na ally kiba. .......halafu kwenye music kuna kitu kinaitwa sampling, hata wakina Dr dre wanatumia sana. .....hapa bongo dj bonny luv kafanya sana sampling kwenye nyimbo za bongo flavour kwa sababu sio dhambi.

wewew ni punguani kwenye music production, unafikiri dre anaweza kufanya sampling ki senge, u dont know.
 
Sawa ndg,We si producer? .....hapo unamtetea Dr dre kuwa hafanyi sampling au unatetea kitu gani? Maana umekuja unatoa maneno makali, hujui unachokiandika wala unachobishania.
 
dre anafanya sampling lakini anafuata taratibu bila kuathiri copyright law.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom